Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kazi safi from Scania Kenya and Masters Fabricators. Buy Kenya Build Kenya. πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ
πŸ‘

Image

Image

Image


Image
Tahmeed siku hizi ni ya kenya. Dunia hii jamani

Screenshot_20230414-091816.png
 
Wakunya walivyoingiza ng'ombe zao Tanzania kinyume na sheria, mamlaka zetu zilikamata ng'ombe wao na kuwataka wamiliki waje kulipa fines ndogo wachukue ng'ombe zao lakini Wakunya walitusakama mpaka makoo yakawakauka

wamejichanganya wameingia kwa M7 wamepigwa risasi kama mvua na wengine wamefungwa jela miaka 20 huku ng'ombe zao zikitokomea kusikojulikana

jinsi wanavyowatishia waganda ni kichekesho kingine, ooh sijui tutakamata mizigo yenu iliopo Mombasa port, mama Mwingine is dragging Uganda first Lady in, yaani Wakunya sijui akili mtapata lini na hamna mtu anaewataka

Hao sio wafugaji, ni bandits, wenyewe wanawaita hivyo! Police na jeshi la Kenya wote wamewashindwa. Wamafanya wanavyotaka.

Sasa wametaka kuleta ujinga huo nchi za watu . Wameraruliwa kisawa sawa.

Wakenya ni wahuni sana! Wanajua kabisa sheria zinasemaje, hata za hapo Kenya lakini ni wabishi sana.

Mtu anakamatwa na AK47 halafu unamwita mfugaji??

Mfugaji anafuga na bunduki??

Pumbavu kabisa!!
 
Mbona umeweka emoji ya kurembua macho dada?

Ulitegemea kusikia habari ya namna gani kutoka nchi yenye vilaza kama Tanzania?

Lazima kila siku ni kupigwa tu.

Serikali inayoongoza Tanzania toka Uhuru imewafelisha pakubwa bongolalaz.

Hatahivyo, viongozi wanatoka kwenye familia zetu, kwahiyo ni sahihi kusema Tanzania ni nchi ya wafu.

Tuendelee kuzikana.

Au unaona vipi dada?
Mzee povu linakutoka kinoma! Tuliza ball wewe!! Kama maisha kwako ni Tia maji tia maji, jua ni kwako tu!

Ongeza bidii kwenye maisha! Acha kulia lia. Machozi hayashibishi.
 
Tahmeed siku hizi ni ya kenya. Dunia hii jamani

View attachment 2587293
Tahmeed ni mtanzania aliehamia kenya hata mama yake anaishi tanga amemjengea nyumba kubwa sana ya kifakhari hapo tanga na kaekeza kenya na tanzania pia lakini asili kabisa ni mtanzania mpaka yule governor wao ali hassan joho asili yake ni mtu kutoka tanga
 
Kwanza ngoja nikupatie angalizo; nchi zote za Afrika Mashariki ni masikini tu. Watu wetu wengi bado wanaishi kwenye umasikini mkubwa. Kwa mfano wewe hapo inawezekana umeshindia ugali maharage tena umekula mchana pekee usiku huu ujala kitu.

Baada ya kusema hayo nirudi kwenye hoja. Nairobi ni zaidi ya Dar hasa kama wewe unaangalia nafasi za kibiashara lakini pia ubora wa miundombinu. Dar es Salaam bado barabara za mitaa ni vumbi tupu. Nairobi lami hadi mitaani tena barabara zenye ubora.

Dar bado sana.

Mimi ni Mtanzania na ninasema wazi tu kwasababu watu wanaotembelea haya majiji mawili wanaona.
Nairobi gani ambayo ni lami Hadi mitaani hii yenye kibera na mathare au ipi maana Mimi sielewi?
 
Nitafurahia vipi wakati mamilioni ya Watanzania hapo Dar wanaishi kwenye ufukara? Hebu uliza jirani yako kama amekula leo? Watu wengi hapo Dar wanalala njaa. Mbaya zaidi ni vijana. Ukweli huu hausemwi ila Tanzania umasikini ni mkubwa na ndugu zetu wanateseka. Hili si jambo la kufurahia.

Wewe kwa akili yako yakuvukia barabara unadhani Dar es Salaam ipo na miundombinu ya maana?

Ni mwendelezo wa ujinga ujinga tu.

Tanzania sisi ni vilaza sana.

Siku zote tunakaza shingo wakati tunapigwa mijeledi mikali ya umasikini na ukosefu wa miundombinu bora.

Ningekuwa karibu ningekamata bakora nikuchape hayo matako yako kwasababu hutaki kujifunza unachofahamu ni kurusha mdomo.
Mseee dar sio Nairobi ukiona upo Dar na hujala basi huna njaa maana umekosea Hadi buku ya wali maharage pia Kuna matajiri wanaogawa chakula na maji bure
 
Back
Top Bottom