Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwenye page hii kuna Scene inafanana na yale mabonde bonde ya kule mwezini, Kumbe ni hapahapa Topestan.
halafu kuna mtu anasema wana lami hadi mitaani, au hii mitaa sio ya Nairobae?

View attachment 2587268
Wacha kuwa dwanzi, hamna aliyesema estate roads zote za Nairobi zina lami. Hata hivyo majority zina lami, hata hiyo umeweka hapa ukatafuta current picture ya hio area utapata kuna lami. Tupee jina ya hio street tukuletee current picture
Kileleshwa
 
Tunakuja na magoli yetu 5 mfukoni naona sasa mmetuzoea vibaya hadi kumshika Simba sharubu.
Hakuna timu East and Central Africa ya kumsumbua Young Africans kwa ss, Yanga akishinda jumapili sio big deal ila Simba akishinda yatakuwa maajabu ya Mussa, nategemea Wakenya wengi kuja kuhudhuria mechi ya timu zao pendwa hapa Africa.
 
20230414_133556.jpg
 
Wacha kuwa dwanzi, hamna aliyesema estate roads zote za Nairobi zina lami. Hata hivyo majority zina lami, hata hiyo umeweka hapa ukatafuta current picture ya hio area utapata kuna lami. Tupee jina ya hio street tukuletee current picture
Kileleshwa

Acha kulialia wewe nyang'au🤣🤣
 
Hakuna timu East and Central Africa ya kumsumbua Young Africans kwa ss, Yanga akishinda jumapili sio big deal ila Simba akishinda yatakuwa maajabu ya Mussa, nategemea Wakenya wengi kuja kuhudhuria mechi ya timu zao pendwa hapa Africa.
Simba ni timu yenye historia kubwa kila awamu na raisi wake tunaweka record mpya na kwa mama Samia pia tunataka record mpya maana za 6-0, 5-0, 4-0 kwa kila awamu tumeshazizoea tunataka wiki kama Horoya sasa.
 
Back
Top Bottom