ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
"Tuletee nchi yetu maendeleo" asante kwa comment je ugali uko juu ya meza??🤣🤣🤣Nairobi imeipita mbali Dar es Salaam kwa maendeleo.
Watanzania tuache kujidanganya, tupige kazi tuletee nchi yetu maendeleo na si blah blah.
Barabara nzuri Nairobi inaongoza, uchumi imara kwa maana ya mzunguko wa pesa Nairobi inaizidi Dar pakubwa. Hata hali nzuri ya hewa na muonekano wa mji Nairobi ipo miles nyingi zaidi ya Dar.