Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wakunya walivyoingiza ng'ombe zao Tanzania kinyume na sheria, mamlaka zetu zilikamata ng'ombe wao na kuwataka wamiliki waje kulipa fines ndogo wachukue ng'ombe zao lakini Wakunya walitusakama mpaka makoo yakawakauka

wamejichanganya wameingia kwa M7 wamepigwa risasi kama mvua na wengine wamefungwa jela miaka 20 huku ng'ombe zao zikitokomea kusikojulikana 😂😂😂😂

jinsi wanavyowatishia waganda ni kichekesho kingine, ooh sijui tutakamata mizigo yenu iliopo Mombasa port, mama Mwingine is dragging Uganda first Lady in, yaani Wakunya sijui akili mtapata lini na hamna mtu anaewataka

Jisemee mwenyewe tafadhali. Wewe ni kilaza. Usitake kutujumuisha wengine.
Wewe hapo mfukoni huna hata shillingi 500 yakununua mihogo usife njaa hapo Dar lakini bado unakaza shingo.

Jambo muhimu ndugu yangu magonjwa mtambuka ni kukubali kumeza dawa ili tupone.

Tanzania bado ni nchi masikini na watu wetu wengi maisha ni tia maji tia maji.

Nadhani unanielewa maana kama nilivyosema hapo juu huna 500 saa hii ununue mihogo usife njaa.
 
Upuuzi mtupu wewe kilaza.
 
Nitajie miundombinu ambayo ipo Nairobi haipo Dar nitakutajia miundombinu ambayo ipo Dar na haipo East and Central Africa.
Nikutajie kitu gani wewe kijana wa Dar?

Nakupatia data ndogo tu.

GDP ya Kenya ni USD 117 billion vs GDP ya Tanzania USD 71 billion.

Amka kijana ingia mtaani usake kazi upate pesa tusonge mbele mtu mmoja mmoja na nchi kwa ujumla.

Nairobi wametupita pakubwa.
 
Mbona umeweka emoji ya kurembua macho dada?

Ulitegemea kusikia habari ya namna gani kutoka nchi yenye vilaza kama Tanzania?

Lazima kila siku ni kupigwa tu.

Serikali inayoongoza Tanzania toka Uhuru imewafelisha pakubwa bongolalaz.

Hatahivyo, viongozi wanatoka kwenye familia zetu, kwahiyo ni sahihi kusema Tanzania ni nchi ya wafu.

Tuendelee kuzikana.

Au unaona vipi dada?
 
Andika Onesha onyesha
Wewe kidogo upo makini katika kusoma kwa ufahamu.

Nakubali hapo nilikosea. Neno sahihi ni onesha.

Hapo upo sawa dada.

Sasa turudi kwenye mada iliyopo mezani.

Je, unakubali Nairobi imeendelea zaidi ya Dar es Salaam?

Nikupatie pakuanzia.

GDP ya Kenya 2023 makadirio ni USD117 billion vs Tanzania USD71 billion.

Hapo unasemaje wewe mkazi wa kwa mfuga panya hapo Dar es Salaam?
 
Mkuu, mjadala wa aina hii uwa unachosha sana. Sidhani Kama unatenda haki kuchangia jambo ambalo huna uhakika nalo, hili ni tatizo kubwa Sana kwa sisi watu wa Dunia ya tatu(third world), ulipaswa kuuliza swali, "Kwanini bunge lilikataa kushirikiana na CAG?, Ili ujue sababu ndio uendelee kuchangia.

Bunge lilikataa kushirikiana na CAG kutokana na CAG kusema kwamba bunge ni "dhahifu" katika mahojiano yake na BBC alipokua ziarani Uingereza, Spika Ndugai alichukulia kauli hiyo Kama ni dharau kwa bunge, akamuita CAG kwenda kujieleza mbele ya kamati ya nidhamu na maadili ya bunge, kamati ilikubaliana na Spika na kumtia hatiani CAG kwa kulidharau na kulidhalilisha bunge, wakamtaka CAG kufuta kauli yake na kuliomba msamaha bunge, CAG alishikilia msimamo wake na kukataa kuomba msamaha, ndipo bunge likachukua uamuzi wa kumuandikia barua rais kumjulisha kusitisha kufanya kazi na CAG.

Sasa endelea na mchango wako....
Kwahiyo mkuu Bunge alilolita dhaifu lilitumia mamlaka yake kumuwajibisha [emoji3]

Hapa sasa nani dhaifu Bunge au CAG?
 
Wewe kidogo upo makini katika kusoma kwa ufahamu.

Nakubali hapo nilikosea. Neno sahihi ni onesha.

Hapo upo sawa dada.

Sasa turudi kwenye mada iliyopo mezani.

Je, unakubali Nairobi imeendelea zaidi ya Dar es Salaam?

Kikupatie pakuanzia.

GDP ya Kenya 2023 makadirio ni USD117 billion vs Tanzania USD71 billion.

Hapo unasemaje wewe mkazi wa kwa mfuga panya hapo Dar es Salaam?
Kwanza nimakosa kuanza kuongea jinsia ya mtu usiyemjua. Umenikosea sana kuniita dada wakati mimi ni mwanaume.

Pili badala ya kuweka GDP ya Dar es salam vs Nairobi umeandika ndivyo sivyo.
Either ushamba unakusumbua au wewe ni mbumbumbu.
 
Dar ni mji mkuu wa kibiashara Tz.

Kenya nayo ni economic hub si tu ya Kenya pekee bali East Africa yote.

Hiyo maana yake pato kubwa la nchi linatoka katika majiji haya mawili.

Hivyo basi ni sahihi kuweka ukinganisho wa GDP ya Kenya na Tz.

Ndiyo uhalisia huo.

Hapo Dar wanaishi watu wasio jiweza kwa umasikini zaidi ya 5 million.

Hiyo si namba ndogo wewe kijana wa Dar.
 
Nairobi imeipita mbali Dar es Salaam kwa maendeleo.

Watanzania tuache kujidanganya, tupige kazi tuletee nchi yetu maendeleo na si blah blah.

Barabara nzuri Nairobi inaongoza, uchumi imara kwa maana ya mzunguko wa pesa Nairobi inaizidi Dar pakubwa. Hata hali nzuri ya hewa na muonekano wa mji Nairobi ipo miles nyingi zaidi ya Dar.
Ni kweli hata kushindwa kulipa mishahara wafanyakazi wake ni hatua kubwa mno.
 
Dar ni mji mkuu wa kibiashara Tz.

Kenya nayo ni economic hub si tu ya Kenya pekee bali East Africa yote.

Hiyo maana yake pato kubwa la nchi linatoka katika majiji haya mawili.

Hivyo basi ni sahihi kuweka ukinganisho wa GDP ya Kenya na Tz.

Ndiyo uhalisia huo.

Hapo Dar wanaishi watu wasio jiweza kwa umasikini zaidi ya 5 million.

Hiyo si namba ndogo wewe kijana wa Dar.
Kwanza wewe siyo mstaarab
Badala ya kusema samahani kwa makosa uliyoyafanya unapotezea tu.

You are too rude.
Nimekutaka ulete GDP ya Dar es salaam vs Nairobi naona unaniletea mipasho tu.

Kama hujui kaa kimya.
Hapa tunaongea kwa facts siyo mipasho.
 
Mishahara imelipwa huko kwenye gdp kubwa?
Wakenya si wajinga. Wanadai haki zao na serikali italazimika kuwalipa.

Haya turudi hapa bongolala.

Sisi ni mfano wa ng'ombe aliyekonda tunakamuliwa maziwa hatuna nguvu hata yakurusha teke.

Tuache kuvuta mdomo Tanzania ni nchi masikini sana.

Fahamu hilo wewe kijana wa hivyo wa Dar es Salaam
 
Yani nikiona mtu anaandamana ili apewe ugali na Ruto ni kipimo cha mwisho kabisa cha ujinga na uzembe.

Hiyo ni primitive society.
 
Back
Top Bottom