Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

😂😂😂😂😂…. Kweli Watanzania wana ubongo kidogo…Learn about Nairobi and horses first…we don’t just ride, we race them like developed world.. horse riding farms hata ziko as far as Nanyuki … Kenya sio ligi Yenu..
Nilijua lazma ujibu kwa mihemko tu 🤣🤣🤣 rudi kwenye video tena angalia kwa umakini kabisa alaf njoo ujibu tena upupu wako sasa
 
Nairobi imeipita mbali Dar es Salaam kwa maendeleo.

Watanzania tuache kujidanganya, tupige kazi tuletee nchi yetu maendeleo na si blah blah.

Barabara nzuri Nairobi inaongoza, uchumi imara kwa maana ya mzunguko wa pesa Nairobi inaizidi Dar pakubwa. Hata hali nzuri ya hewa na muonekano wa mji Nairobi ipo miles nyingi zaidi ya Dar.
Punguza makasiriko dogo! Enjoy battle!
 
Conquering Africa 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪

Image
 
…. Kweli Watanzania wana ubongo kidogo…Learn about Nairobi and horses first…we don’t just ride, we race them like developed world.. horse riding farms hata ziko as far as Nanyuki … Kenya sio ligi Yenu..
Mbona Avatar yako unalia sasa
 
Kutoka 22 mpk 17, tulikuwa tunawaambia humu thamani ya pesa yao si ya kweli kulingana na uchumi wao wakawa wanabisha, sasa itaporomoka mpaka kufikia 1ths = 2ksh few years to come, ona hadi rahaa View attachment 2586390
Mzee mimi nimetoa BOT thamani ya sasa 17.1 next week tunapinduka na 16.
 
Pia bandits huwa wananifurahisha sn, wanawapunguza sn hawa watu, wapo wengi sana alafu wazembe, watatupa shida kuwalisha.
 
Nitafurahia vipi wakati mamilioni ya Watanzania hapo Dar wanaishi kwenye ufukara? Hebu uliza jirani yako kama amekula leo? Watu wengi hapo Dar wanalala njaa. Mbaya zaidi ni vijana. Ukweli huu hausemwi ila Tanzania umasikini ni mkubwa na ndugu zetu wanateseka. Hili si jambo la kufurahia.

Wewe kwa akili yako yakuvukia barabara unadhani Dar es Salaam ipo na miundombinu ya maana?

Ni mwendelezo wa ujinga ujinga tu.

Tanzania sisi ni vilaza sana.

Siku zote tunakaza shingo wakati tunapigwa mijeledi mikali ya umasikini na ukosefu wa miundombinu bora.

Ningekuwa karibu ningekamata bakora nikuchape hayo matako yako kwasababu hutaki kujifunza unachofahamu ni kurusha mdomo.
Punguza makasiriko dogo! Enjoy battle
 
Back
Top Bottom