Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 33,880
- 32,656
Wacha kuwa dwanzi, hamna aliyesema estate roads zote za Nairobi zina lami. Hata hivyo majority zina lami, hata hiyo umeweka hapa ukatafuta current picture ya hio area utapata kuna lami. Tupee jina ya hio street tukuletee current picture
Kileleshwa
Hiyo Satellite ni ya keya au ya SpaceXKwa hizi zinazofeli, labor charge na material ya kurepalce charges zake si zinaongezeka au package ipo constant hadi a successful mission. 😎
Hii si SGR kweli?
Zilikuwa mbio za kukimbizana na Tz waka kwaa kisiki hadi chali
ZileteNgoja nikutafutie receipts ili ujione ulivyo Dwanzi kweli kweli. Una uhakika hakuna mtu aliyesema estates zenu zote zina lami? Kwenye maandamano tumeona hali halisi kila kona nchini mwenu. Lakini mkiongea humu utafikiri watu wa BEVERLY HILLS.
Hamna habari ya Kenya itawapitaIla mnafuatilia mambo ya Kenya Sana aisee.![]()
We boya Nairobi si dar, karibia kila estate na suburbs zina lami si vumbi kama huko kwenu. Lami kwenye estates zilianza kuwekwa kitambo na bado zinaendelea kuwekwa
NDINDANgoja nikutafutie receipts ili ujione ulivyo Dwanzi kweli kweli 🤣 . Una uhakika hakuna mtu aliyesema estates zenu zote zina lami? Kwenye maandamano tumeona hali halisi kila kona nchini mwenu. Lakini mkiongea humu utafikiri watu wa BEVERLY HILLS.
Kwani kuna ubaya gani?Ila mnafuatilia mambo ya Kenya Sana aisee.🤣🤣