Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kuna namna BRT Kenya imekuwa cursed, haiwezekani kila wakianza wanaishia njiani, yaani walianza na lipstick wakachemsha, nyege zikawapanda tena wakaja na hii wakachemsha, kutakuwa na mkono wa mtu si bure[emoji28][emoji28][emoji28]
Walikurukurupuka hawakujitosheleza kwenya kufanya upembuzi yakinifu kwaajili ya huo mradi,

Walifanya hivyo kwa sababu dar kuna BRT wao hawana wakaona bora nao wafanye ilimradi ikija hoja ya BRT tukiwaambia Tz kuna BRT nao waseme kuwa wanayo,matokeo yake ndiyo hayo sasa kuumbuka
 
IMG_163511_13423.jpg
 
Acha porojo.

Watanzania wengi ni masikini na mbaya zaidi inaonekana hatuna lakufanya.

Kenya wao wanafanya mambo yao na uchumi wao ni mkubwa zaidi yetu.

Acha kuvuta mdogo ndugu, hii nchi inawatu masikini na asikudanganye mtu umasikini wa mijini ni mkubwa. Vijana wa kitanzania wanashinda njaa.

Wakina dada wakina kaka wote wanashinda njaa.

Haya ndiyo mambo yakuhangaika nayo watu wetu wawe huru.

Unanielewa lakini wewe kilaza?
 
sijawai kuona kiazi kama wewe umu ndani toka nianze tumia jamiiforum... Naona unawashwa sana.
 
Back
Top Bottom