7seven
JF-Expert Member
- Mar 27, 2022
- 3,744
- 8,065
Kenya Iko na katiba Bora Sana hawahitaji kuwepo kwa waangalizi wa haki za binadamu
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app



Kenya Iko na katiba Bora Sana hawahitaji kuwepo kwa waangalizi wa haki za binadamu
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app



Nmecheka sana🤣🤣Mji wenu wenyewe jina ni la Kiarabu alafu unataka utupige lecture kuhusu majina ya Kigeni.🤣🤣
Clearly, you have an issue comprehending what you can see with your eyes. Those bags zinajiondoa zenyewe kwenye carousel, sio? Second, you show your largest airport with one tiny terminal and try to compare it with Kenya's 5th or 6th largest. Behave, JNIA haitoshi hata terminal moja ya JKIA (and remember JKIA has 5 active and one inactive terminal. Rika yenu ni Mombasa, maybeMwenzako anakuonesha watalii wakifurika ww unatuonesha begi la msafiri serious??😆
kwahiyo kaskazini hawahitaji sgr?Nimemkumbuka Mh JPM mbali na madhaifu yake kufufua reli ya kaskazini ilikua kazi moja ya Heshima kubwa kwa watu wa Kaskazini...
Kaskazini kunafikika kwa barabara nzuri,reli ama ndege....Ni hakika ni moja ya eneo lililopendelewa miundombinu yote
I think Mtwara Mbamba bay , with Mbamba bay port expansion would be much needed kama watapata developers wa Liganga na Mchuchuma , the rail would be the most profitable .kwahiyo kaskazini hawahitaji sgr?
Hao jamaa wanakimbia maandamano🤣🤣🤣Clearly, you have an issue comprehending what you can see with your eyes. Those bags zinajiondoa zenyewe kwenye carousel, sio? Second, you show your largest airport with one tiny terminal and try to compare it with Kenya's 5th or 6th largest. Behave, JNIA haitoshi hata terminal moja ya JKIA (and remember JKIA has 5 active and one inactive terminal. Rika yenu ni Mombasa, maybe
![]()
You wanted to see passengers at JKIA? Enjoy... Again, nitarudia kuwa hii ni terminal moja pekee kati ya TANO
![]()
![]()
![]()
![]()
With regards to civilization Tanzanians are way ahead of Kenyans. This reflects also on how we obtained our independence, it was through a civilised diplomatic manner than bush war as in the case for Kenya.Wakenya hawajalelewa kwenye civilization na civilization hawaijui, ni ngumu na Haiwezekani kabisa mkenya kuandamana bila kufanya fujo, wamelelewa kwenye mazingira ya kutoheshimu yeyote yaani mazingira ya chooni kabisa
Ni ukabila tu umejaa hapa wala hakuna lolote, kwenye maandamano yao ni nyimbo za kijaluo tu zinapigwasasa kitu kama hicho ulishaona wapi?
Hii airport imekaa kama baazar ya kihindiThe tiny Kisumu airport. Nimeamua nisi-post Mombasa, Wilson, Isiolo, Eldoret, Malindi, etc. Hawa watu watangoja kiasi with that kiosk of theirs
![]()
![]()
![]()
![]()



Genocide loadingKimberly loading.......
Shida ni ugali anatakiwa agawane ugali ba baba asile peke yakeRuto na makamu wake wanaipeleka hii nchi pabaya sana. Vitu kama hivi ndo vinachangia wananchi kuwa na hasira na vinaweza kukaribisha revolution wasipochunga
Acha uongo JKIA ina terminal moja tuu devided into sections such as 1A etc.Clearly, you have an issue comprehending what you can see with your eyes. Those bags zinajiondoa zenyewe kwenye carousel, sio? Second, you show your largest airport with one tiny terminal and try to compare it with Kenya's 5th or 6th largest. Behave, JNIA haitoshi hata terminal moja ya JKIA (and remember JKIA has 5 active and one inactive terminal. Rika yenu ni Mombasa, maybe
![]()
You wanted to see passengers at JKIA? Enjoy... Again, nitarudia kuwa hii ni terminal moja pekee kati ya TANO
![]()
![]()
![]()
![]()
For your information mizigo mingi ya Rwanda Burundi Congo na Uganda now inapita Tanga port after port improvement. Na hata kwa barabara ni shorter kuliko kutokea Dar.I think Mtwara Mbamba bay , with Mbamba bay port expansion would be much needed kama watapata developers wa Liganga na Mchuchuma , the rail would be the most profitable .
I dont think we need Tanga to Musoma SGR that much or even Dar to Mbeya .
Maybe a Branch to Bagamoyo port from the current SGR network if Bagamoyo Port will be constructed
If Arusha and Moshi needs SGR Line then Branch it from Dodoma/Singida
I know it will be better for Passngers to travel to Arusha/Moshi via SGR line but , that will be to many projects all at once in a very short time.
GOT needs to complete most of its projects before we take on new bigger ones ,
Plus its better to Expand more the Dar Port with new container terminals as the business is already there , and also put more emphasis on connceting Districts with Tarmaced roads
Kwa View yangu 2025 to 2035 the focus should be on
1.Making the SGR line current network profitable ie ..Kualika kuwekeza kwenye industrial parks along the line kama tunachofanya now with SINO TAN
2.Build new Berths at Dar Port at least its capacity should triple from current . or Build new 400m berths at least 5 at new Bagamoyo port with SGR line
3. District roads ,Barabara za Lami za kuunga Wilaya zote nchini na vitongonji hasa kwenye Miji mikubwa
4. Human Capital Developement , but naona wamenaza kufanya na project ya HEET so its good, plus focus should be on IT and Coding from primary school
5. Beach tourism,Sports , Medical tourism and conference tourism itatusaidia kuto depend on wildlife during low seasons
Conference tourism ndo naoana eneo halijafanyiwa kazi vizuri over years .we need MKICC revival plans
6.Ie Fishing indsutry and exporting Fish plus livestock and Holticultrue bado tuko nyuma
Already on progress with Kilwa Fishing port u/c .Holticulture more of private sector thing , just improvement of infrastructure ie cold storage facilities
7. Sewage system and Waste treatment projects in most big cities. this is unsatsifsctory esp Dar na Mwanza
8. Mtwara to Mbamba bay plus developing Liganga and Mchuchuma
9. Light Rail or Metro in Dar Congested Areas and BRT in Mwanza and Arusha congested areas/routes , Dodoma simply needs wider roads for now
10.
Mkuu, hata Mbeya nao pia watahitaji SGR badala ya TAZARA, uchumi wetu kwa Sasa hauna uwezo wa kueneza SGR Kila mkoa, hasa kwa Ile mikoa ambayo Kuna MGR inafanya kazi na ni reli ya ndani ya nchi, hakuna mzigo mkubwa, ni Bora kuboresha na kuweka umeme katika hizi reli za zamani inatosha Sana.kwahiyo kaskazini hawahitaji sgr?
Kwa nini waingereza waliandamana?Sasa kwanini unaandamana?
Wewe unasema zilijengwa na EAC mwenzako anasema zilijengwa na wakoloni sasa tumwamini nani? Mtasumbuka sana mitanganyikaHivyo viwanda tulijenga sisi kama EA community. Tutajie mlivyojenga nyie baada ya collapse ya EA community.
Umesikia kwetu hayo mambo uliyotaja ni bure?Buses hulipa fees kuingia stand and so are pasengers and people visiting the bus stand. Also kwenye stands kuna maduka and other recreational facilities ambapo wanalipa rent na taxes. Vipi bado hujaona serikali inaingizaje hela kwenye bus stands?
Hivi kwanini wewe akili yako ni ndogo kiasi hiki?, No wonder your country is in anarchy.Umesikia kwetu hayo mambo uliyotaja ni bure?