Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Na sio wame partner usitake kunidanganya hapa banbrose ndio wananua chasis na engine na diff kutoka china kuja kuunganisha bus hapo nairobi na ni kama wanajaribu biashara na hakuna plant ya ku assemble bus za golden dragon africa nzima hakuna 🤣🤣🤣🤣
Endelea kulia 🤣😂🤣

Kampuni ya kuunda body kumbe 🤣🤣🤣
Aliekwambia bus za golden dragon za tanzania zimetoka kenya ni nani ??? Yani kwenye masuala ya magari hata usijaribu kunidanganya huwezi
Ulisema Mabasi za Golden Dragon are not assembled in Kenya. After proving you wrong you are now talking about other things, confusion is real 😂😂🤣😂
 
Ulisema Mabasi za Golden Dragon are not assembled in Kenya. After proving you wrong you are now talking about other things, confusion is real 😂😂🤣😂
Ndio they are not assembled in kenya na hakuna bus ya golden dragon tanzania itatoka kenya na haitakuja kutokea hii narudia tena kukwambia unajua kwann hakuna assembly plant ya golden dragon kenya hakuna na haitakuwepo 🤣🤣🤣🤣
 
Karakana ni zaidi ya garage na hii ni kwa east and central africa hata youtong zote kenya na uganda zitakua zinakuja hapa kwa matengenezo zaidi 👏👏👏👏 tunamshkuru sana youtong
Acha uongo hakuna gari ya Kenya itakuja Tanzania for repair. Yani tuwatengezee gari alafu tukuje tufanye repair kwenu? Can't happen 😂🤣😂
 
Aliyekuambia wakenya hawalimi mahindi kwa minajili ya matumizi ni nani? Tangu nikiwa mtoto hakuna siku tumetumia pesa kununua unga ya duka coz tunalima mahindi kijijini kwetu. Hata hizo mboga unayotaja ni vivyo hivyo. Ninyi mnafikiria hii dunia huzunguka tu Tanzania pekee yake!
Sasa kwanini unaandamana?
 
Ndio they are not assembled in kenya na hakuna bus ya golden dragon tanzania itatoka kenya na haitakuja kutokea hii narudia tena kukwambia unajua kwann hakuna assembly plant ya golden dragon kenya hakuna na haitakuwepo 🤣🤣🤣🤣
Unadhani ukisema there's no Golden Dragon buses being assembled in Kenya itageuka ukweli. Pole sana😂🤣😂😂
 
Acha uongo hakuna gari ya Kenya itakuja Tanzania for repair. Yani tuwatengezee gari alafu tukuje tufanye kwenu? Can't happen 😂🤣😂
Subirini basi nitakukumbusha wala usiwe na wasiwasi 🤣🤣🤣 youtong official na hii ndio itakua karakana kubwa east and central africa na ni kwaa ajili ya gari za kichina ikiwemo youtong na zinginezo

Unadhani ukisema there's no Golden Dragon buses being assembled in Kenya itageuka ukweli. Pole sana😂🤣😂😂
Yani ww utanidanganya kote lakini sio kwenye masuala ya magari never ever budaa hakuna aseembly plant ya golden dragon kenya na haitatokea 🤣🤣🤣

Eti golden dragon bus zote za tanzania zimetoka kenya mbona hio kauli huendelei nayo tena 🤣🤣
 
Yani ww utanidanganya kote lakini sio kwenye masuala ya magari never ever budaa hakuna aseembly plant ya golden dragon kenya na haitatokea 🤣🤣🤣

Eti golden dragon bus zote za tanzania zimetoka kenya mbona hio kauli huendelei nayo tena 🤣🤣🤣🤣
🤣🤣😂🤣👇👇

🤣🤣😂🤣👇👇

Wamefungua aseembly plant kenya 🤣🤣🤣 sio tena banbrose ?? Acha tu nifurahi kwa kweli alaf source tanzania bound buses 🤣🤣🤣🤣

Siku utanionaesha assemble plant ya golden dragon kenya ndio siku itakua mwisho wangu hapa jamii forum hii ni ahadi natoa 🤣🤣🤣🤣
 
Wamefungua aseembly plant kenya 🤣🤣🤣 sio tena banbrose ?? Acha tu nifurahi kwa kweli
Do you understand the word partnership?🤣😂🤣

They have partnered with Banbros to Start an assembly plant within Banbros East Africa premises. Wewe vile mungu alikuwa anapea watu akili ni kama alikusahau😂😂
 
Hakuna sehemu kuna partership kati ya golden dragon na banbros hakuna na hutaipata 🤣🤣🤣🤣 na hakuna assembly plant ya golden dragon bus kenya haipo na haitatokea
 
Wamefungua aseembly plant kenya 🤣🤣🤣 sio tena banbrose ?? Acha tu nifurahi kwa kweli alaf source tanzania bound buses 🤣🤣🤣🤣

Siku utanionaesha assemble plant ya golden dragon kenya ndio siku itakua mwisho wangu hapa jamii forum hii ni ahadi natoa 🤣🤣🤣🤣
Acha nikuonyeshe golden Dragon buses assembled in Kenya by Banbros and Chinese partnership 😂😂👇👇

1679343377363.jpg
 
Back
Top Bottom