Mashashola
JF-Expert Member
- Feb 23, 2020
- 4,393
- 5,800
Is there a company in Tanzania that makes such losses?
Ache kupenda kuropokwa, kenyan banking sector ina ushindani sana huwezi linganisha na Tanzania. Hata the 3rd na 4th largest banks in kenya zinamake faida kubwa kuliko your biggest bank CRDB.Hvi nikuulize swali ukitoa KCB na equity kuna bank gani ni shindani kenya?? Yani hakuna tofaut na safaricom kenya hana mshindani wengine telkom na airtel ni washindikizaji tu
Sasa nitofaut na tanzania ushindani wa kibenk ni mkubwa sana imagine NBC anadhamini ligi kuu yatanzania kwa sasa miaka 2 au 3 lakini ni bank ya 4 au 5 kwa ukubwa tanzania [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Alaf kitu nashangaa sioni hata serekali yenu ikiwa na shares kwenye bank kubwa kama hzo huku kwetu mpaka absa bank serekali ni shareholder mkubwa
View attachment 2568541
Hakuna ushindani wowote mlionao mm naongea sio kwa kuropkwa naelewa nachoongea hakuna bank kubwa na shindani zaidi ya KCB na equity hakuna wengine ni washindikizaji tu 😆😆😆Ache kupenda kuropokwa, kenyan banking sector ina ushindani sana huwezi linganisha na Tanzania. Hata the 3rd na 4th largest banks in kenya zinamake faida kubwa kuliko your biggest bank CRDB.
Kcb na equity ziko na a combined market share of less than 30% as you can see
View attachment 2568602
Alafu we jamaa ungekuwa unafanya research kabla ya kumwaga ujinga wako hapa. Tanzania banks last year zilimake a combined profit of tsh 1.16t which ni around Usd 500m
![]()
Tanzania banks rake in Sh1.16 trillion net profit in record display
Net profits for commercial banks rose by about Sh400 billion in 2022 to surpass the Sh1 trillion mark for the first time in Tanzania's history.www.thecitizen.co.tz
compared na kenyan banks ambazo in 11 months to November last year zilimake around usd 2b
![]()
Banks’ Sh224bn record profits signal bonus, dividends boom
Banks’ pre-tax profits for 11 months to November last year hit a record Sh223.7 billion.www.businessdailyafrica.com
Leta list ya viwanda vyote mlivyojenga nyie baada ya jumuiya kuvunjika maana viwanda vyote ya EA majina yanaishia na EA industriesWewe unasema zilijengwa na EAC mwenzako anasema zilijengwa na wakoloni sasa tumwamini nani? Mtasumbuka sana mitanganyika
Kwenu stand za mabasi kuna maduka ya maana au recreational facilities weka hapa tuone.Umesikia kwetu hayo mambo uliyotaja ni bure?
Halafu kuna punda humu ndani zinasema Kenya inaongoza kwa ICT. Labda ICT ya kwenye makaratasi.
Now that's even worse. It means then your ka tiny airport is not even the size of one section of JKIA. Quit while you still can.Acha uongo JKIA ina terminal moja tuu devided into sections such as 1A etc.