ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Kila mtu anakunja wake mfukoni 😆😆👇Imagine nchi makamu wa Rais kama yule inachaje kufanya uhuni.
Kila mtu anakunja wake mfukoni 😆😆👇Imagine nchi makamu wa Rais kama yule inachaje kufanya uhuni.
Mnajifariji tu mbn mm sijui chochote kuhusu nchi yenu hivi sasa, Watz 99.9% hawajui chochote kuhusu Kenya hata mji wenu mkuu hawaujui wanajua kdg Mombasa mana ipo karibu na Zanzibar.99% ya watanzania hapa wanapost about kenya. Wakenya na watanzania wote wapost about Kenya, nani atatuonesha mazuri ya dar![]()
Wewe kwanza you're the biggest confused fella hapa. Kila saa Kenya this, kenya that na kupost malinks hapa zenye hata hamna anayezifungua.Dar munaiweza kwani ?? Ujenzi wa BRT phase 3 ushaanza na ujenzi wa BRT phase 2 uko over 90% bado munafkiri dar mutaiweza ?![]()
. Yani unapitia kurasa baada ya kurasa na content kuhusu dar es salaam ni chache mnoKenya Iko na katiba Bora Sana hawahitaji kuwepo kwa waangalizi wa haki za binadamuWale wa haki za binaadami wako wapi hii ingekia ni tanzania dunia nzima ingezungumza vile kwasababu ni colony lao huwaskii wakizungumza
Ruto na makamu wake wanaipeleka hii nchi pabaya sana. Vitu kama hivi ndo vinachangia wananchi kuwa na hasira na vinaweza kukaribisha revolution wasipochungaImagine nchi makamu wa Rais kama yule inachaje kufanya uhuni.
Sisi inatuhusu nini? Mm nawatakia kila la heri muuwane ili haki itendeke msikubali kuibiwa kizembe zembe.Ruto na makamu wake wanaipeleka hii nchi pabaya sana. Vitu kama hivi ndo vinachangia wananchi kuwa na hasira na vinaweza kukaribisha revolution wasipochunga
Alafu wanapambana ki local sn, mambo ya karne ya 17 haya.
Mm najaribu kuwaonesha kua mubadikike dunia ishawavua chupi sasa mujue hakuna kitu mutadanganya juu ya uso wa dunia na munishkuru sana mm najaribu sana kuwakumbusha muachane na stori za kujisifia uongo😆😆 mambo yamebadlika badilikeni oneni leo munavodhalilika na kuhangaika huku na kuleWewe kwanza you're the biggest confused fella hapa. Kila saa Kenya this, kenya that na kupost malinks hapa zenye hata hamna anayezifungua.
Kama dar hakuna progress na hamna cha kuonesha kubali kushindwa tufunge huu uzi. Yani unapitia kurasa baada ya kurasa na content kuhusu dar es salaam ni chache mno
Na hii ndio matunda muliovuna kudanganya ulimwengu kua muko vzr kumbe kwa ground ni afadhali ya jana 😆😆😆 wala musilaumu ruto mulaumu zile sifa za uongo munazo danganya dunia miaka yote sasa mambo yako hadharani munaanza kutafuta mchawi sahiviRuto na makamu wake wanaipeleka hii nchi pabaya sana. Vitu kama hivi ndo vinachangia wananchi kuwa na hasira na vinaweza kukaribisha revolution wasipochunga
Majinga haya yanaua uchumi wao yenyewe, makenya hayana tofauti na batu ba Congo ni wale wale akili kisoda. No wonder investors wameamua kukimbilia nchi salama ya Tz.next world of vandalism
uchunguzi uanze na wafanyakazi
Kila mtu anakunja wake mfukoni 😆😆👇
Waki endelea hivi itabidi mtanzania mmoja akatawale kenya Kwa kipindi cha mpito kwanza na kuweka baadhi ya reforms.Alafu wanapambana ki local sn, mambo ya karne ya 17 haya.