Wanatakiwa wapungue, wapo wengi mno watatusumbua kuwalisha.Wakenya hawajalelewa kwenye civilization na civilization hawaijui, ni ngumu na Haiwezekani kabisa mkenya kuandamana bila kufanya fujo, wamelelewa kwenye mazingira ya kutoheshimu yeyote yaani mazingira ya chooni kabisa
Ni ukabila tu umejaa hapa wala hakuna lolote, kwenye maandamano yao ni nyimbo za kijaluo tu zinapigwasasa kitu kama hicho ulishaona wapi?
wazee wa service economy mbona wanaipata? 😂😂😂
Hawana uchumi hao ni nchi ya kimavi mavi sn Kenya, raia kama co mkikuyu au mkalenjini anahesabika ni mnyama hata akiuwawa taarifa zake ni ngumu kuzipata.wazee wa service economy mbona wanaipata?![]()
Nipo upande wa vita.hili wala halikuhitaji rocket brain kujua uvamizi, wizi na uchomaji wa shamba la Kenyatta ni syndicate crime structured by the government wazee wa wheelbarrows chini ya Nabii Zakayo
Sasa hapa ndio kuna vita
View attachment 2567980
siasa za hawa watu hazijawahi kuwa na amani 😂😂😂 saivi ndio real Kenyans hangover ya 2007 imeishaNipo upande wa vita.
Huyo bazenga ni mumiani... Anapenda sana kunywa damu za jaluo wenzake.Lkn, mbona naona kama Odinga ndo chanjo ya haya matatizo.. hata mauwaji ya kipindi kile baada ya uchaguz yey alikuwa chanjo.. he is influential, he should know how to direct or lead his followers kwenye maandamano bila kuingia kwenye machafuko mabaya.. baada ya matokeo ya uchaguz mwaka huu hali ilikuwa shwari japo wengine tulitegemea vita, sasa naona hajaridhika na huo ushwari! Yan ilimradi tu akichafue.. na mali ya ile kampuni yake ya cylinders kwa hali hii sidhan kama zitakuwa salama
Ruto mjanja sana kamchagua mkikuyu kilaza ndio makamu wake, yupo neutral sana na mambo ya wakikuyu kama sio mkikuyu vile 😂😂😂 saivi ndio kaangushiwa zigo la kuchoma shamba la Kenyatta mkikuyu mwenzake Yaani ni ukabila tu ndio agenda 😂😂😂Hawana uchumi hao ni nchi ya kimavi mavi sn Kenya, raia kama co mkikuyu au mkalenjini anahesabika ni mnyama hata akiuwawa taarifa zake ni ngumu kuzipata.