Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mmemuona Teargas?
Screenshot_20230327-214202_Instagram.jpg
 
Ruto na makamu wake wanaipeleka hii nchi pabaya sana. Vitu kama hivi ndo vinachangia wananchi kuwa na hasira na vinaweza kukaribisha revolution wasipochunga
Wakenya wote mnachangia sio Rutto na makamu pekee, ninyi hamtaki kukubali mapungufu yenu, Kila mkiambiwa hamtaki kukubali badala yake mnajifanya wajuaji wa Kila kitu.

Yanayotokea Kenya ni matokeo ya ukabila, hamtaki kukubali mnajifanya mnajua Kila kitu na kuleta kiingereza kingi, mnastahili hayo matatizo, Wacha kumlaumu Rutto na naibu wake peke Yao.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Kabisa chief
Au ianzishwe mashindano ya vitasa yaitwe SAMIA VITASA CUP,mshindi aibuke na kitita kikubwa mchezo wa ngumi utakuwa na mvuto hatare.

Sijui sheria zake lakini ninaamini hakuna lisilowezekana kama watu wakiamua kufanya kitu cha maendeleo.

Tunaweza kuvitumia Vitasa kuutangaza utalii wetu ndani na nje ya nchi.

Fikiria watu kama akina Mwakinyo, Kiduku, Ibrahim Class ,Mfaume, Dulla Mbabe,wapambe wao na wengineneo wanaingia kwenye mashindano wamevaa tisheti zenye picha za simba mnyama Bob Marley na Bob Junior..visit Serengeti national park.

Inaweza kuwa na mvuto wa aina yake.
 
Back
Top Bottom