Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

moja kati ya achievement kubwa sana kwenye kuokoa mazingira yetu, hii investment itaokoa misitu yetu na kuongeza mchango wa sector ya viwanda/madini kwenye pato na Taifa

Screenshot_20230324-100810.png

moja kati ya achievement kubwa sana kwenye kuokoa mazingira yetu, hii investment itaokoa misitu yetu na kuongeza mchango wa sector ya viwanda/madini kwenye pato na Taifa

View attachment 2563645

Tanzania tuna hazina kubwa ya coal inayoweza kutumika miaka zaidi ya 500, hii ni bonge 1 la investment kutoka STAMICO

images (24).jpeg
images (25).jpeg
images (28).jpeg
FbwGlTUXoAALGut.jpeg
images (23).jpeg
 
moja kati ya achievement kubwa sana kwenye kuokoa mazingira yetu, hii investment itaokoa misitu yetu na kuongeza mchango wa sector ya viwanda/madini kwenye pato na Taifa

View attachment 2563645

Kila siku nilikuwa najiuliza haya makaa ya mawe ukiacha govt kupata pesa kwa kuyauza, je sisi wananchi tunanufaika nayo vipi? Na je ni kweli wenzetu wanayanunua kwa ajili ya kuendeshea viwanda pekee, leo ndiyo nmeona nuru kwamba tutaanza kufaidika nayo directly na sio zile story za esopo kwamba tunauza makaa ya mawe alafu tunapata pesa za kununulia madawati na dawa.
 
Mimi nafikiria hata hakuna haja ya kuexport haya makaa nje ya nchi japo tunayo mengi ya kutosha, impacts zake kiuchumi zitakua kubwa sana tukitengenezea hizi briquettes kuliko kuexport, hii mitambo ya kutengeneza briquettes wanatakiwa wawe nayo kila mkoa kisha biashara ya mkaa wa miti itakufa naturally, uzuri wamesema watauza kwa bei rahisi kuliko bei ya mkaa wa kawaida huku hizi briquettes zikiwa na ubora maradufu kuliko mkaa wa miti
 
Nakuambia gharama za maisha zitashuka sana, watanzania tulikuwa wapi jamani, mpk huyu mwendazake kuja kutuamsha, haki ya Mungu yule mzee ana mabaya yake lakini mazuri ni mengi sana na tunayaona kwa macho.
Watu wanachukulia poa sana kwanza ikumbukwe sio kazi ndogo kubadilisha coal kuwa home use briquettes, ni akili kubwa sana wataalamu wetu wametumia mpaka kufanya coal itumike kama mkaa wa kupikia majumbani, raw coal ukiiwasha ukapikia chakula ni ndani ya dakika chache unakuta mpaka sufuria imekua uji
 
Mimi nafikiria hata hakuna haja ya kuexport haya makaa nje ya nchi japo tunayo mengi ya kutosha, impacts zake kiuchumi zitakua kubwa sana tukitengenezea hizi briquettes kuliko kuexport, hii mitambo ya kutengeneza briquettes wanatakiwa wawe nayo kila mkoa kisha biashara ya mkaa wa miti itakufa naturally, uzuri wamesema watauza kwa bei rahisi kuliko bei ya mkaa wa kawaida huku hizi briquettes zikiwa na ubora maradufu kuliko mkaa wa miti
Kwa jinsi nnavyoujua mkaa wa mawe unaweza tumia hata mwezi kwa vikokoto sita hivyo hivyo, wewe tu na uimara wa sufuria lako, hapo hata bei za mitungi ya gesi zitashuka sana.
 
Watu wanachukulia poa sana kwanza ikumbukwe sio kazi ndogo kubadilisha coal kuwa home use briquettes, ni akili kubwa sana wataalamu wetu wametumia mpaka kufanya coal itumike kama mkaa wa kupikia majumbani, raw coal ukiiwasha ukapikia chakula ni ndani ya dakika chache unakuta mpaka sufuria imekua uji
Ndiyo maana nasema wewe na uimara wa sufuria lako tu mana coal si mchezo mzee.
 
Pole kwako. Saa hii ukiona any Golden Dragon bus in Tanzania just know that there's high chances zimeunganishwa Kenya😂😂

Nimekuuliza swali mbona hazijaandikwa classic bus simple like that ?🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom