Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

How much do we collect from taxes?? It's a lot bongolala. More than you collect down there.

Nyinyi ni investments gani mmefanya inayoingizia serikali yenu hela kuzidi hiyo tax yenu finyu mnayokusanya?
Nimekuuliza swali jibu hapa. Asilimia ngapi of your revenue last year your country collected from tax?

Jibu swali tujadiliane kama watu wenye akili.
 
What??? Viwanda vilivyojengwa na mkoloni ndivyo mnaviringia?

Huko tulishatoka babu. Tanzania is not anymore source of raw material.

Viwanda vinahitaji raw material where will you get? Hapa tunaongelea sustainable revenue mdogo wangu. Kuifanya nchi iweze kujitegemea ndani ya mika 20 ijayo.

What is the source of revenue of your country for 20 year to come?

Which resources do you have to sustain your future revenue?
Kenya is a dying horse. Mnarusha mateke ya mwisho tu.
Hebu nitajie hizo viwanda vilivyojengwa na wakoloni moja baada ya nyingine tuzione
 
Hakuna kiwanda kimejengwa na serikali ya kenya. 90% of your factories inherited from you colonial master.

Also jibu swali nililokuuliza hapo juu. Kenya is a dying donkey.
Do you have any evidence to support your claim? Ama ni maneno ya vijiweni jam kawaida yenu? 😂😂
 
Kwa mambo uliyotaja,
1. Tanzania haizidi Kenya kiviwanda. Kenya is the most industrialized country in east Africa

2. Tanzania bado inajenga reli zake wakati zetu ziko operational na zinaingizia nchi mapato

3. Aviation (Ndege). Kenya is the aviation hub in east Africa. . Tunawazidi in both passenger numbers and cargo volume

4. Bandari. The biggest and bussiest port in East Africa ipo Kenya (port of Mombasa)

5. Masoko. Kenya has modernized her markets and built bigger ones in the recent past just like you've done

6. Stand za mabus. Hapo mpo juu but I wonder how it qualifies as a sustainable and leading source of revenue to your government.

7. Natural gas. That's a naturally occurring resource that not everybody has. Sisi pia tuko na geothermal yetu

8. Hydroelectricity. Kenya produces more electricity than Tanzania and also consumes more electricity than Tanzania . Data zipo ukitaka

9. Real estate. Hapo hata hakuna cha kusema. Kenya's real estate sector is more developed than what you have down there

So bongolala, kwa hayo ulitlyotaja, which ones give you bragging rights over Kenya?

Kelele na povu itabidi uache!!
Tuanze point kwa point.
1)Manufacturing sector ya Tanzania mwaka 2022 export value ilikua $1.4B, hiyo ni export value pekee, sio total value of manufacturing sector. Weka export value yenu ya 2022 tulinganishe

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Kwa mambo uliyotaja,
1. Tanzania haizidi Kenya kiviwanda. Kenya is the most industrialized country in east Africa

2. Tanzania bado inajenga reli zake wakati zetu ziko operational na zinaingizia nchi mapato

3. Aviation (Ndege). Kenya is the aviation hub in east Africa. . Tunawazidi in both passenger numbers and cargo volume

4. Bandari. The biggest and bussiest port in East Africa ipo Kenya (port of Mombasa)

5. Masoko. Kenya has modernized her markets and built bigger ones in the recent past just like you've done

6. Stand za mabus. Hapo mpo juu but I wonder how it qualifies as a sustainable and leading source of revenue to your government.

7. Natural gas. That's a naturally occurring resource that not everybody has. Sisi pia tuko na geothermal yetu

8. Hydroelectricity. Kenya produces more electricity than Tanzania and also consumes more electricity than Tanzania . Data zipo ukitaka

9. Real estate. Hapo hata hakuna cha kusema. Kenya's real estate sector is more developed than what you have down there

So bongolala, kwa hayo ulitlyotaja, which ones give you bragging rights over Kenya?

Kelele na povu itabidi uache!!
2)Tanzania railway lines which are functional
1)Dar to Kigoma 1400Km
2)Dar to Arusha 680km
3)Dar to Mbeya. 800Km
4)Dar to Tanga. 350Km

Weka reli zenu zinazofanya kazi, onyesha urefu wa reli(KM)

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
2)Tanzania railway lines which are functional
1)Dar to Kigoma 1400Km
2)Dar to Arusha 680km
3)Dar to Mbeya. 800Km
4)Dar to Tanga. 350Km

Weka reli zenu zinazofanya kazi, onyesha urefu wa reli(KM)

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app

Jamaa amekaririshwa na wanasiasa.
 
2)Tanzania railway lines which are functional
1)Dar to Kigoma 1400Km
2)Dar to Arusha 680km
3)Dar to Mbeya. 800Km
4)Dar to Tanga. 350Km

Weka reli zenu zinazofanya kazi, onyesha urefu wa reli(KM)

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app

Dar-Mwanza
Tanga-Moshi
Bado hujataja Tazara .. kwa kifupi mtandao wetu wa reli ambao ni functional ni zaidi ya reli zao zote mbili (MGR+SGR combined)
 
Back
Top Bottom