Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Watu wanaongelea value of manufactured goods exported
Nimemuwekea za Tanzania za mwaka Jana.

Hizi ni value of manufactured goods from Tanzania exported outside, sio total value of manufactured goods, Wala sio value of total Exports from Tanzania.

Nilimuambia aweke za Kenya Ili tulinganishe, badala yake ameleta total Exports za Kenya, Tena za zamani (2020).

Kwa ufupi wakenya bado hamjajua Tanzania inavyoendelea kwa Kasi Sana, hivi Sasa Tanzania ni hatari, Kenya can't match In many sectors which initially Kenya enjoyed suprimicy.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Ujenzi unaendelea hapo, Nimepita hapo Asubuhi BRT lanes tayari Bado tu barabara ya magari kulia kabisa na sidewalk.

View attachment 2563088
Nafikiri labda tufanye hivi ili huyu jamaa yetu asipate kusema tena kuhusu hilo eneo.
tapatalk_-1674884815_400x620.jpg
tapatalk_1874142224_425x319.jpg
 
Kwa mambo uliyotaja,
1. Tanzania haizidi Kenya kiviwanda. Kenya is the most industrialized country in east Africa

2. Tanzania bado inajenga reli zake wakati zetu ziko operational na zinaingizia nchi mapato

3. Aviation (Ndege). Kenya is the aviation hub in east Africa. . Tunawazidi in both passenger numbers and cargo volume

4. Bandari. The biggest and bussiest port in East Africa ipo Kenya (port of Mombasa)

5. Masoko. Kenya has modernized her markets and built bigger ones in the recent past just like you've done

6. Stand za mabus. Hapo mpo juu but I wonder how it qualifies as a sustainable and leading source of revenue to your government.

7. Natural gas. That's a naturally occurring resource that not everybody has. Sisi pia tuko na geothermal yetu

8. Hydroelectricity. Kenya produces more electricity than Tanzania and also consumes more electricity than Tanzania . Data zipo ukitaka

9. Real estate. Hapo hata hakuna cha kusema. Kenya's real estate sector is more developed than what you have down there

So bongolala, kwa hayo ulitlyotaja, which ones give you bragging rights over Kenya?

Kelele na povu itabidi uache!!
Dah Boss yani umepanic kisa umeambiwa Kenya imezidiwa na Tz, ila Wakenya mbn mpo serious namna hii? Siku zikitoka takwimu mmezidiwa GDP c mtazimia kabisa
 
Nixie hizo ni exports zote za products sio manufctured peke yake 6.52usd billion was total products you expoted inculding Tea, Cofee ,manufctured goods , cars kila kitu ..I hope umeelewa vizuri .Ili tusibishane sana ntakuletea Data za UNCTAD ambazo huwa wana compile za Nchi zote, Nitaleta za 2021 Za Tanzania,Ethiopia na Kenya Imports na Products

Kisha nitaweza za Tz za 2022 cause BOT washazitoa


in 2021 Kenya exported 6.7billion usd of goods ( Includes Manufctred and non Manufactured )and imported 19bil usd creating a defict of 12bn usd , ushaona kwanza kwanini mna reserve ndogo ya dollar ..Also it exported 4.6bil usd of services (Includes tourism) and imporyed 4bn usd of service creating a balance of 620mil usd . Screenshot no 1

In 2021 Tz Expotred 6.3bil usd of Goods includes Manufctured and non manufctured while it imported 10bil usd .A deficit of 4bn usd was created . on Exports of service it exported 3.2bn usd imported 1.7bil usd of services

Ethiopia Data ziko on 3rd but they exported 3.9bil of goods and imprted 15bn usd , with service export being 5.5bn usd and imports of around 6bn usd

In 2022 cause Data za Tz Zipo
it exported 12bn usd of goods and services goods alone being 7.1bil usd out of that manufctured goods are 1.4bil usd alone last year


Sasa nyie hata kwa 2021 manufctured alone ni ngap ?

View attachment 2563414View attachment 2563416View attachment 2563417
Aisee kweli za kuambiwa changanya na zako, kumbe Tz inatisha hivi kwenye hii sector, nilikuwa sijui aisee, asante sana mkuu umenifungua macho.
 
Back
Top Bottom