Haya tayari huko 👇👇👇Kipimo Cha chini kabisa Cha hali mbaya kabisa ya maisha ya binadamu ni upatikanaji wa chakula, Kenya ndiyo nchi yenye idadi kubwa ya watu ambao hawana chakula hapa EA.
Hivi Kama mtu hana uwezo wa kupata chakula, huyo mtu anaweza kupata nini hapa duniani?, taja ni nchi gani hapa EA ambayo raia wake wanakufa kwa njaa?
Mimi nimekubaliana na wewe kwamba haundeshwi na ushabiki, lakini tumekubaliana kwamba huna akili hata kidogo, vipi hadi Leo hujui kwamba madini ni sawa na mafuta, Kule Turkana Yale mafuta yanachimbwa na serikali au kampuni binafsi?. Kwa akili yako ya kijinga ni kwamba mtu akienda msituni akachimba madini akipata aende kuyakabidhi serikalini kwa sababu ni Mali ya serikali?, Mwaka juzi yule massai Kule Arusha alipata Tanzanite ya $3M, Ile pesa ilingia serikalini au alichukua yeye mwenyewe na serikali ilipata Kodi?, Huna akili wewe.
Nimekuambia hata Kama pesa yote ya madini ya Tanzania ikiwa ni pesa ya serikali, je $3.5B inaweza kumaliza umasikini wa nchi?. Pesa ya serikali inatumika kujenga miundombinu ya barabara, Hospitali na kununua dawa, je umasikini wa kipato Cha watu kinamalizwa kwa kuwa na barabara Bora na Hospital Bora?.
Kama zaidi ya $4B zinaingia katika mifuko ya wakenya Kama remittances lakini bado umasikini wa kipato kwa wakenya unazidi kuongezeka, Hilo ndio jambo la kushangaa.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Can we get you manfuctring exports Data last yearKwa mambo uliyotaja,
1. Tanzania haizidi Kenya kiviwanda. Kenya is the most industrialized country in east Africa [emoji23][emoji23]
2. Tanzania bado inajenga reli zake wakati zetu ziko operational na zinaingizia nchi mapato [emoji23][emoji23]
3. Aviation (Ndege). Kenya is the aviation hub in east Africa. [emoji23][emoji23]. Tunawazidi in both passenger numbers and cargo volume
4. Bandari. The biggest and bussiest port in East Africa ipo Kenya (port of Mombasa) [emoji23][emoji23]
5. Masoko. Kenya has modernized her markets and built bigger ones in the recent past just like you've done
6. Stand za mabus. Hapo mpo juu but I wonder how it qualifies as a sustainable and leading source of revenue to your government.
7. Natural gas. That's a naturally occurring resource that not everybody has. Sisi pia tuko na geothermal yetu
8. Hydroelectricity. Kenya produces more electricity than Tanzania and also consumes more electricity than Tanzania [emoji23][emoji23]. Data zipo ukitaka
9. Real estate. Hapo hata hakuna cha kusema. Kenya's real estate sector is more developed than what you have down there
So bongolala, kwa hayo ulitlyotaja, which ones give you bragging rights over Kenya?
Kelele na povu itabidi uache!!
Wewe ni mpumbavu!No wonder Tanzanian farmers are poor. Maize has no benefit to farmer, Geri nipande miraa kuliko mahindi.
Mbona umepanic! Au huwezi vumilia maumivu ya sindano [emoji1787][emoji1787]Wewe ni mjinga sana tena desperate. Yani flooding ambayo hufanyika hata huko uswazini kwenu ni kitu cha kupost hapa? Ama unataka nikuletee barabara zenu zikifurika maji hata PA kukanyaga hakuna?
Failed state indeedHaya tayari huko [emoji116][emoji116][emoji116]
Tuanze point kwa point.
1)Manufacturing sector ya Tanzania mwaka 2022 export value ilikua $1.4B, hiyo ni export value pekee, sio total value of manufacturing sector. Weka export value yenu ya 2022 tulinganishe
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Sasa mbona huko Turkana mnakufa njaa au hao jamaa sio wakenya?Hii ngoma hautawezana nayo kijana wa Tandale. Manufactured goods are now Kenya's 3rd leading export item after tea and horticlutre respectively. I couldn't find 2022 figures but in 2020, manufactured goods export value in Kenya stood at $6.52 billion. That's six times more what your country exported two years later in 2022 😂😂😂😂. Tukisema number yetu mtasoma hadi kiama we know what we talkin about View attachment 2563243
2)Tanzania railway lines which are functional
1)Dar to Kigoma 1400Km
2)Dar to Arusha 680km
3)Dar to Mbeya. 800Km
4)Dar to Tanga. 350Km
Weka reli zenu zinazofanya kazi, onyesha urefu wa reli(KM)
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Kiswahili chako kizuri sana.Umeongea vizuri ila ningependa kukukosoa kidogo. Kwanza, sidhani kama inawezekana kupatia kila kijana ardhi hekari kumi na serikali. Kwani Tanzania ni kubwa kiasi gani ndio kila kijana apewe hekari kumi kwenye nchi ya watu million 60?
Inafaa mshukuru Mungu kwa kuwapa nchi ambayo inalimika kwa kiasi kikubwa na madini tele pia. Tanzania ni nchi ambayo haifai kuwa na kiasi kikubwa cha masikini kama ilivyo kwa sasa ikizingatia natural resources mlizonazo.
Kenya sehemu kubwa ni kame na haifai kwa kilimo lakini hiyo haifai kuwa ni kisingizio. Serikali inafaa kutilia maanani irrigation schemes ili kuzuia upungufu wa chakula haswa kwa sehemu kame
Kawaida ya mtanzania akishashindwa kwenye hojaSasa mbona huko Turkana mnakufa njaa au hao jamaa sio wakenya?
Nashukuru, I give thanks to JF though 😂😂Kiswahili chako kizuri sana.
Una maana hawafi au?Kawaida ya mtanzania akishashindwa kwenye hoja
This is the value of our manufactured goods exported in 2020. I couldn't find 2022 figures unfortunately.Can we get you manfuctring exports Data last year
We are about kuwapita JNHPP 2115mw alone will produce half 75 percent of Your electricity.
Hapo tuna Kakono 87 mw na Malagarasi 49.5 mw ambazo ujenzi unaanza
SGR you know its not operational lakini it will be na itawapita unless muanze kujenga kuelekea UG na bado yetu its superior
Aviation apart from KQ but Jomo Kenyata is performing better in terms of Cargo and Pax huo ni ukweli
real esate i doubt ?