Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

@Nicxie Mimi ninakuomba uwe unafikiria kabla ya kujibu, uwe neutral. usiwe mara nyingi inaendeshwa na ushabiki.

Sasa unaposema haiwezikani vijana wote kupata ardhi ya kutosha, wewe ktk akili yako kweli inakuambia kwamba vijana wote Tanzania wanapenda na wanaweza kilimo?. Hivi hujui kwamba sector zote nchini zinahitaji vijana, ikiwemo hiyo sector ya madini uliyotaja?.

Kuhusu kauli kwamba Tanzania Iko na madini mengi hivyo watanzania hawapaswi kuwa masikini, huo ni wivu wa wakenya, kwasababu kwanza hamjui hayo madini ni mengi kiasi gani ukilinganisha na idadi ya watanzania.

Kwamfano, madini ambayo yanapatikana kwa wingi Tanzania ni dhahabu, mwaka Jana pesa iliyopatikana kutokana na dhahabu ni $2.9B, Sasa hiyo pesa ndiyo inaweza kumaliza umasikini kwa watanzania 60M?, Mbona Kenya mnapata $4B Kama Remittances lakini bado njaa ni tatizo?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
We jamaa huwa na majibu ya ki genius sana, wewe sasa nakutunuku nishani ya GT.
 
Unajenga aje daraja la one way 21st century!!!
Hiyo ni one way? Ume zoom picha ukaona ni one way?

Ushakuwa kipofu wewe Vaa miwani
IMG_20230323_155150_318.jpg
IMG_20230323_154658_516.jpg
IMG_20230323_154557_748.jpg
IMG_20230323_154558_488.jpg
IMG_20230323_154504_584.jpg
 
Mimi siendeshwi na ushabiki wala nini. Nimenukuu aliyosema mwenzako kwamba KILA kijana anapewa hekari kumi. Aliposema hivyo mtu anafaa kuelewa aje?

Kuhusu madini na remittances, haya ni mambo mawili tofauti. Pesa Tanzania inapata kutokana na mauzo ya madini yanaenda kwa kikapu cha serikali, si mtu binafsi kama ilivyo remittance in case of Kenya.

Serikali inafaa kutumia hiyo pesa kuboresha maisha ya watanzania which is not the case kwa sababu Tanzania ndio nchi inayoongoza kwa umasikini ukanda huu.

Remittance zinazingia Kenya kwa kiasi kikubwa hutumiwa na hizo recipient families kujikumu na kujiimarisha kiuchumi.

Hawa ni watu wanatuma hela nyumbani kuwekeza kwenye sekta mbalimbali, kusomesha familia na mambo kama hayo. These have effects on the general well-being of these people besides earning the government money in forex charges
Ndiyo maana joto la jiwe akakuambia usijibu kwa ushabiki Boss, punguza hasira kwanza alafu chill zen tuendelee, sasa Tz inawezaje kuongoza kwa umaskini ukanda huu wakati kuna Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi mpaka Sudan. Achilia mbali hilo bado hapo hapo ni nchi mnayokuja kuomba misaada mingi tu ikiwamo chakula cha bei rahisi, mnapata matibabu na mmefika mbali mnaomba mpk reserve ya dollar, hivi wewe inakuingia akilini hiyo mkuu kwamba hiyo nchi inaweza kuwa maskini kuliko hizo nilizozitaja hapo juu? Niwie radhi mkuu kwa kuingilia kati
 
Nixie hizo ni exports zote za products sio manufctured peke yake 6.52usd billion was total products you expoted inculding Tea, Cofee ,manufctured goods , cars kila kitu ..I hope umeelewa vizuri .Ili tusibishane sana ntakuletea Data za UNCTAD ambazo huwa wana compile za Nchi zote, Nitaleta za 2021 Za Tanzania,Ethiopia na Kenya Imports na Products

Kisha nitaweza za Tz za 2022 cause BOT washazitoa


in 2021 Kenya exported 6.7billion usd of goods ( Includes Manufctred and non Manufactured )and imported 19bil usd creating a defict of 12bn usd , ushaona kwanza kwanini mna reserve ndogo ya dollar ..Also it exported 4.6bil usd of services (Includes tourism) and imporyed 4bn usd of service creating a balance of 620mil usd . Screenshot no 1

In 2021 Tz Expotred 6.3bil usd of Goods includes Manufctured and non manufctured while it imported 10bil usd .A deficit of 4bn usd was created . on Exports of service it exported 3.2bn usd imported 1.7bil usd of services

Ethiopia Data ziko on 3rd but they exported 3.9bil of goods and imprted 15bn usd , with service export being 5.5bn usd and imports of around 6bn usd

In 2022 cause Data za Tz Zipo
it exported 12bn usd of goods and services goods alone being 7.1bil usd out of that manufctured goods are 1.4bil usd alone last year


Sasa nyie hata kwa 2021 manufctured alone ni ngap ?

View attachment 2563414View attachment 2563416View attachment 2563417
Atakujibu akiwa amelewa 🤣🤣🤣
 
Huwezi kuambiwa Kila kitu, lazima uwe unatumia akili yako, aliposema Kila kijana anapewa hekari kumi, wewe kwa ujinga wako ulidhani ni vijana wote hata wale wagonjwa wa akili, walemavu wasio na viungo. Vijana wa kitanzania waliopo nje ya nchi, wanajeshi, waalimu, wacheza mpira, majambazi.

Kwahiyo aliposema vijana wote, wewe bila hata kutumia akili ukadhani ni wooote vijana wa Tanzania, kwanini usingefikiria kwamba haiwezikani vijana wote kufanya kazi katika sector Moja pekee?, Ulishawahi kuona wapi duniani vijana wote wakafanya kazi Moja?, tumia akili kidogo.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Nimecheka sana, we jamaa sijui unawazaga nn, naamini hata Nicxie kacheka
 
Kama huendeshwi na ushabiki, basi akili yako ni ndogo Sana, hujui lolote. Jinsi ulivyojibu ninakubaliana na wewe kwamba huna ushabiki ila ni uwezo wako mdogo wa akili.

1)Kwanza pesa ya madini hiyo $2.9B sio pesa ya serikali, ni pesa yote iliyopatikana kutokana na mauzo ya dhahabu, yaani imeingia katika mifuko ya wachimbaji, serikali imepata Kodi ni mirabaha tu.

Hata Kama pesa yote hiyo ingeingia serikalini, na Kama hiyo pesa inatosha kuwafanya watanzania kuondokana na umasikini?,

Wewe akili yako ni ndogo Sana, kati ya pesa inayoingia serikalini na pesa inayoingia Moja kwa Moja mikononi mwa watu, ipi ambayo inamaliza umasikini wa watu binafsi?.

Kenya Remittances zinaingia Moja kwa Moja kwa wakenya, iweje wakenya wengi wanashindwa hata kupata chakula, iweje Kenya ndio inaongoza kwa slums duniani, vipi ndio mnaongoza kwa kuwa na hali mbaya ya maisha hapa EA?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Joto la jiwe made my day
 
Bongolala unasema naendeshwa na hisia but ni dhahiri wewe ndio unaendeshwa na hisia na ushabiki za kijinga

Unaposema wakenya ndio wako na maisha mbaya zaidi hapa east Africa do you have any evidence to back up your claim? Last time I checked, Tanzania had 28 million people living in extreme poverty, the highest number of any country in EA. These are data provided by the WBG and verifiable. Wewe nawe, on the other hand, unakwama na data za kutoa akilini.

On the same note, last time I checked, Kenya is ahead of you in HDI na GDP per capita, mambo mawili yanayotumika kupima umasikini.

Natural resources kama madini ni mali ya serikali jinsi ninavyojua unless huko kwenu it's a different story so usituambie eti pesa zinazotokana na mauzo ya madini yanaenda kwa mifuko ya watu binafsi

Remittance unayotaja inafikia familia chache with kins abroad. How you expect that money to help a large number of Kenyans is baffling to say the least. Hiyo pesa inasidia hizo familia tu, not every Kenyan as you purport
Mkuu huyo joto la jiwe amekuzidi kimo achana naye Boss utaumia moyo wako bure, we tembea na kina sisi utugalagaze basi
 
Back
Top Bottom