Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Is it an expressway ama ni bridge mbona naona river huko chini!!!???
wivu unakusumbua mzee.. huwezi jua jinsi expressway inakaa sababu danganyika hakuna expressway. ldc imeshindwa hadi na uganda 🤣 🤣
 
wivu unakusumbua mzee.. huwezi jua jinsi expressway inakaa sababu danganyika hakuna expressway. ldc imeshindwa hadi na uganda
Mbezi Louis Dar es salaam
JamiiForums-630326534.jpg
 
Classic kwani ni kampuni ya tanzania au ya congo alaf hio ndio sehem ya kuonganisha bus za dragon 🤣🤣🤣🤣🤣 hii dunia tutaona mengi sana
You wanted to see the classic names on the buses nikakuonyesha. I don't know why you are now crying 😂😂🤣😂. Again don't talk about Bus assembling cause there's no bus being assembled in Tz😂😂🤣
 
Kwa hivo unapinga kwamba Mabasi za Golden Dragon haziunganishwi Kenya?🤣🤣😂🤣.
Nimekwambia nioneshe golden dragon plant ya kenya nifunge acc sasa hvi yani kwenye maswala ya magari kwangu umenoa budaaa 🤣🤣🤣🤣
 
Nimekwambia nioneshe golden dragon plant ya kenya nifunge acc sasa hvi yani kwenye maswala ya magari kwangu umenoa budaaa 🤣🤣🤣🤣
Nani amekuambia kuna plant ya Golden Dragon Kenya? Spirits za Magufuli zinakufuata ama?🤣🤣😂 Who said Golden Dragon has their own plant in Kenya?
 
Golden Dragon wamepartner Banbrose to assemble their buses in Kenya. Unataka kulia?😂😂🤣
Na sio wame partner usitake kunidanganya hapa banbrose ndio wananua chasis na engine na diff kutoka china kuja kuunganisha bus hapo nairobi na ni kama wanajaribu biashara na hakuna plant ya ku assemble bus za golden dragon africa nzima hakuna 🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom