Kama huendeshwi na ushabiki, basi akili yako ni ndogo Sana, hujui lolote. Jinsi ulivyojibu ninakubaliana na wewe kwamba huna ushabiki ila ni uwezo wako mdogo wa akili.
1)Kwanza pesa ya madini hiyo $2.9B sio pesa ya serikali, ni pesa yote iliyopatikana kutokana na mauzo ya dhahabu, yaani imeingia katika mifuko ya wachimbaji, serikali imepata Kodi ni mirabaha tu.
Hata Kama pesa yote hiyo ingeingia serikalini, na Kama hiyo pesa inatosha kuwafanya watanzania kuondokana na umasikini?,
Wewe akili yako ni ndogo Sana, kati ya pesa inayoingia serikalini na pesa inayoingia Moja kwa Moja mikononi mwa watu, ipi ambayo inamaliza umasikini wa watu binafsi?.
Kenya Remittances zinaingia Moja kwa Moja kwa wakenya, iweje wakenya wengi wanashindwa hata kupata chakula, iweje Kenya ndio inaongoza kwa slums duniani, vipi ndio mnaongoza kwa kuwa na hali mbaya ya maisha hapa EA?
Sent from my itel L5007 using
JamiiForums mobile app