Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Subsidies zilikuwepo kipindi kizima cha Uhuru Kenyatta. Ruto alipoingia tu hivi the first thing he did was to lift subsidy on fuel. This resulted in high fuel prices which affected the prices of all basic commodities.

Ndio maana unaona hizi maandano
Huko ndio kunaitwa kufunga mkanda hakuna jinsi lazima mkubali kuumia kwa kipindi kidogo ili uchumi urudi mahali pake.
 
Hapo chini nimeona pameandikwa.. "issue kubwa sana ni mafuta na unga..."

Kama maandano yanahusu tu unga mbona basi mafuta imetajwa kwenye hiyo IG post yake? Hizi maandano are about high cost of living but unawezaamimi jinsi unavyotaka. It's about high cost of unga, high cost of cooking oil, high cost of electricity, high cost of bread nk
Sababu kubwa ya Raila kuitisha maandamano ni mambo mawili
1) Kufungua savers
2)uteuzi wa wajumbe wa tume ya uchaguzi
Hayo mengine yalijitokeza baadae na akayajumlisha Ili kupata support ya wengi masikini.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Umeongea vizuri ila ningependa kukukosoa kidogo. Kwanza, sidhani kama inawezekana kupatia kila kijana ardhi hekari kumi na serikali. Kwani Tanzania ni kubwa kiasi gani ndio kila kijana apewe hekari kumi kwenye nchi ya watu million 60?

Inafaa mshukuru Mungu kwa kuwapa nchi ambayo inalimika kwa kiasi kikubwa na madini tele pia. Tanzania ni nchi ambayo haifai kuwa na kiasi kikubwa cha masikini kama ilivyo kwa sasa ikizingatia natural resources mlizonazo.

Kenya sehemu kubwa ni kame na haifai kwa kilimo lakini hiyo haifai kuwa ni kisingizio. Serikali inafaa kutilia maanani irrigation schemes ili kuzuia upungufu wa chakula haswa kwa sehemu kame
Ardhi hatopata kila kijana lakini ni fursa kwa vijana wengi na matokeo yake yataathiri jamii nzima,

Nyie nae msijifiche kwenye kivuli cha eti eneo kubwa la kenya ni kame kwahyo halifai kwa kilimo, huu ni uzembe wa kutofikiri vizuri, mataifa ya middle East yote ni jangwa lakini ajabu wanakupeni misaada ya chakula, why.?

Kwanini msiende benchmark kule kwao kujua wanafanya nini kufanikisha kilimo kwenye Ardhi yenye jangwa kama yenu.? Ili nanyi mnufaike na hiyo Ardhi yenu .?

Wacheni ujinga chukueni hatua stahiki kabla hali haijawa mbaya zaidi sio kila siku kutoa ruzuku ya chakula Ili mumudu kununua kutoka katika nchi zingine
 
@Nicxie Mimi ninakuomba uwe unafikiria kabla ya kujibu, uwe neutral. usiwe mara nyingi inaendeshwa na ushabiki.

Sasa unaposema haiwezikani vijana wote kupata ardhi ya kutosha, wewe ktk akili yako kweli inakuambia kwamba vijana wote Tanzania wanapenda na wanaweza kilimo?. Hivi hujui kwamba sector zote nchini zinahitaji vijana, ikiwemo hiyo sector ya madini uliyotaja?.

Kuhusu kauli kwamba Tanzania Iko na madini mengi hivyo watanzania hawapaswi kuwa masikini, huo ni wivu wa wakenya, kwasababu kwanza hamjui hayo madini ni mengi kiasi gani ukilinganisha na idadi ya watanzania.

Kwamfano, madini ambayo yanapatikana kwa wingi Tanzania ni dhahabu, mwaka Jana pesa iliyopatikana kutokana na dhahabu ni $2.9B, Sasa hiyo pesa ndiyo inaweza kumaliza umasikini kwa watanzania 60M?, Mbona Kenya mnapata $4B Kama Remittances lakini bado njaa ni tatizo?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Mimi siendeshwi na ushabiki wala nini. Nimenukuu aliyosema mwenzako kwamba KILA kijana anapewa hekari kumi. Aliposema hivyo mtu anafaa kuelewa aje?

Kuhusu madini na remittances, haya ni mambo mawili tofauti. Pesa Tanzania inapata kutokana na mauzo ya madini yanaenda kwa kikapu cha serikali, si mtu binafsi kama ilivyo remittance in case of Kenya.

Serikali inafaa kutumia hiyo pesa kuboresha maisha ya watanzania which is not the case kwa sababu Tanzania ndio nchi inayoongoza kwa umasikini ukanda huu.

Remittance zinazingia Kenya kwa kiasi kikubwa hutumiwa na hizo recipient families kujikumu na kujiimarisha kiuchumi.

Hawa ni watu wanatuma hela nyumbani kuwekeza kwenye sekta mbalimbali, kusomesha familia na mambo kama hayo. These have effects on the general well-being of these people besides earning the government money in forex charges
 
Wewe jamaa hujui hata kusoma au unajifanya mjinga. Soma vizuri mkala yake ameongelea vijana maalum 800 wamepewa kila mmoja ekari 10 kwaajili ya kilimo.

Waliotuma maombi ni vijana 25,000 so tunaanza na hawa kwanza tuone matokeo kisha wengine watapewa.

Uwe unasoma usipende kukurupuka kujibu kiubishi.
Alikuwekea na clip kama reference. Kumbe husikilizi wala kusoma.
 
Sasa mkuu unaposema wewe ni tajiri zaidi ya mwenzio alafu hapo hapo bei za vitu dukani ni sawa lkn yule maskini ana afford lkn wewe tajiri huwezi ku afford na sio unajifanyisha bali huwezi kweli kiasi cha kwamba mpaka wanao wanakufa njaa na wanaonekana kabisa hali zao si nzuri kiafya unashindwa kueleweka Boss.
Hapo ndipo linapokuja swala la purchasing power parity kama indicator nzuri ya kuangalia standard of living na economic productivity.
 
Ardhi hatopata kila kijana lakini ni fursa kwa vijana wengi na matokeo yake yataathiri jamii nzima,

Nyie nae msijifiche kwenye kivuli cha eti eneo kubwa la kenya ni kame kwahyo halifai kwa kilimo, huu ni uzembe wa kutofikiri vizuri, mataifa ya middle East yote ni jangwa lakini ajabu wanakupeni misaada ya chakula, why.?

Kwanini msiende benchmark kule kwao kujua wanafanya nini kufanikisha kilimo kwenye Ardhi yenye jangwa kama yenu.? Ili nanyi mnufaike na hiyo Ardhi yenu .?

Wacheni ujinga chukueni hatua stahiki kabla hali haijawa mbaya zaidi sio kila siku kutoa ruzuku ya chakula Ili mumudu kununua kutoka katika nchi zingine
Kama ulisoma kila kitu nilichoandika kuna mahali nimesema nchi yetu kuwa kamwe sehemu kubwa haifai kuwa kisingizio. But of course you couldn't see that for obvious reasons.

There's nothing to benchmark coz hayo yote walishafanya but hakuna kilichofanyika. The thing is, the government needs to act and act on a serious note coz they know what they need to do
 
Wewe jamaa hujui hata kusoma au unajifanya mjinga. Soma vizuri mkala yake ameongelea vijana maalum 800 wamepewa kila mmoja ekari 10 kwaajili ya kilimo.

Waliotuma maombi ni vijana 25,000 so tunaanza na hawa kwanza tuone matokeo kisha wengine watapewa.

Uwe unasoma usipende kukurupuka kujibu kiubishi.
Alikuwekea na clip kama reference. Kumbe husikilizi wala kusoma.
Show me where he mentioned vijana maalum ama idadi yao kwenye ile post yake. He said kila kijana. Wewe ndio unafaa kusoma uache kukurupuka
 
Huyo huwa anapuuzwa tu kaka..🤣🤣. Alishawahi kulinganisha mfereji wa kilimo cha umwagiliaji kwa jina la Thiba dam vs JNHP.. asa ndio utamuweza.? 🤣 Hiyo dam yenyewe ni haka ka pond 🤣🤣 👇View attachment 2562667View attachment 2562668View attachment 2562670.. sa ndio utamuweza huyo.?
Turkwel Dam
Turkwel-Dam-660x330.jpg
 
Kama ulisoma kila kitu nilichoandika kuna mahali nimesema nchi yetu kuwa kamwe sehemu kubwa haifai kuwa kisingizio. But of course you couldn't see that for obvious reasons.

There's nothing to benchmark coz hayo yote walishafanya but hakuna kilichofanyika. The thing is, the government needs to act and act on a serious note coz they know what they need to do
Kenya hakuna sustainable source of revenue. Kenya will always be dependent nation.

Hamtokaa muweze kuendeleza nchi yenu without cooperation with neighboring country. Ile EGO yenu ya kipumbavu itaendelea kuwala na muendelee kuwa omba omba.
 
Back
Top Bottom