Nicxie chukua huh mfano
View attachment 2562801hiki kijiji kinaitwa KWAMKONO, kipo Mkoani Tanga wilaya ya Handeni, siku za nyuma kidogo nilikua nikifuata Mbuzi hapo, Ili nilete DAR kwaajili ya biashara.. lakini nilikuta chakula sio tatizo kabisa, Kg 1 ya nyama ya ng'ombe ni Tz sh 3000 while in Dar es salaam nyama inauzwa kilo moja 9k .. kila aina ya chakula kwenye hiki kijiji bei yake ipo chini mara tatu tofauti na bei unavyoweza kuikuta DAR,
My take: Tz karibu yote inalimika, inafaa kwa ufugaji, kwahyo ni ngumu sana kukuta waTz wanaandamana eti kwaajili ya chakula, kwasababu tuliowengi zaidi ya 70% hatununui chakula watu wanapanda wanalima wanakula,
Na ndio maana serikali yetu ikaonelea ya kwamba tutoke sasa kwenye kilimo kwaajili ya hizi basic demands, tuongeze kilimo kwaajili ya utajiri/pesa.. Eneo kubwa limetengwa kufanya kazi hiyo
Tunavyoongea hivi sasa vijana wanapewa Ardhi huku buree, hekari kumi kila mtu wamiliki ndani ya miaka 66 ... Kwaajili ya kilimo biashara .. pita hapa 👇
. . sijui unasubir nini usiebadilisha uraia.. wacha ujinga mdogo angu 🤣