Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

But Kenya is still richer than Tanzania in any dimesion measurable... means Tanzanians are living a worser life than Kenyans nowonder we have Tanzanina beggars in Kenyans streets and not the vice-versa

One of the best measures of poverty is the ease access to food. There is no great wealth in the world like good health which you cannot talk about if the access to food is poor.



If Tanzanians are worse off, kindly provide us with such kind of stories below.

 
Baada yakupost picha za gate ya infinity sasa ukaona upost na render ili ukoleze zaidi 🤣🤣🤣🤣🤣 ni vichekesho kwa kweli

Na hii nairobi gate ni jengo moja tu hakuna majengo mengine 🤣🤣🤣🤣

 
Street hawker, kuna ufasaha wa lugha na kuna namna ya tafsiri ya lugha kutokana na mazingira, hivyo ni vitu viwili tofauti, wacha kuwa mpumbavu..

Unaweza kutafsiri/kutamka neno vyovyote unavyoweza lakini ipo namna sahihi ya kutamka neno hilo au ipo tafsiri sahihi ya neno hilo.. sisi waTz ndio wenye lugha ya kiswahili na tunakijua haswaa pasi na shaka, ndio tupangiwe namna ya matamshi ya lugha yetu.? (Ingawa wapo miongoni mwetu ambao matamshi yao yameathiriwa na mother tongue) tupangiwe tafsiri ya maneno katika lugha yetu.? Na watu ambao lugha hawaijui ..

U must be fucking crazy..
Ok nimekuelewa Boss, si kwa ubaya lkn
 
Nimeona sehemu hii Kwala satellite City waki compare na Tatu City ya Kenya, kuna uhalali hapo?
Kwala-Satelite-City-Vs-Tatu-City-JamiiForums-JeICVCt_VFRZnM.jpg
 
Alafu nilikuwa sijui kumbe hii industrial park ya Tz itakuwa ya gharama namna hii?
Duuhhh hatari sana hii wakuu, $3b kuzichimbia ardhini si mchezo wazee.
Kwala-Satelite-City-Vs-Tatu-City-JamiiForums-ednCWN-AvsLbwM.jpg
 
Hiyo ni promortion bongolala. Hata jersey ya Arsenal imeandikwa Visit Rwanda. Sasa inamaanisha kwamba Arsenal ni club ya Rwanda? Ama kwamba wanapeperusha bendera ya Rwanda? Wewe ndio mandazi, tena ile imeungua kabisa!
Mechi ikitangazwa wanasema Simba from Tanzania na pia bendera ya nchi inapepea uwanjani na mashabiki hujua kuwa hii timu imetoka Tz na kuanza kufuatilia Tz in that sense.
 
Jirani anasubir Jumatatu sijui ni kesho aingie barabarani kupigania uhaba wa unga wa ugali 🤣🤣🤣.. watu wa visiwani wako na uhakika wa chakula na serikali inawajibika kuhakikisha bei hazipandishwi hovyo.. halafu hawa jamaa eti wanajisifu uongozi bora .. mavii.!! 🤣 Cheki maneno hayo 👇.
 
Hili diko limenitoa mate kiukweli .. Kenyans can't afford 🤣.. Tz tamu bhana heb cheki maneno 👇.
 
Arusha kipo Kiwanda Njiro pale... Mbona wanaweka tena na Moshi jirani tu hapo?

Hawataki kutanua uwanja na masoko? Distribution zones hapo zitakuwaje?

SBL nao wako na kiwanda Moshi, Huko bia watauziwa buku buku...
Watu wa Moshi wanakunywa sana inafika wakati beer zinatoka Dar kupelekwa Moshi capacity ya kiwanda cha Arusha haitoshelezi.
 
Back
Top Bottom