ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 79,425
- 85,250
Idadi kwani mutasema ukweli wangap wanakufa wakat kila siku waty wanakufa na njaa na hamuna msaada wala thamani juu ya maisha ya wakenya kzi kujisifia ujinga tuHebu niletee data ya idadi ya wakenya wamekufa njaa mwaka huu pekee yake
Hzi ndio habari dunia inazishangaa👇👇👇Hebu niletee data ya idadi ya wakenya wamekufa njaa mwaka huu pekee yake
Idadi kwani mutasema ukweli wangap wanakufa wakat kila siku waty wanakufa na njaa na hamuna msaada wala thamani juu ya maisha ya wakenya kzi kujisifia ujinga tu
Hzi ndio habari dunia inazishangaa👇👇👇
i have tea, coffee and rice farms etc and am not even the richest person in my village street and i am making alot of money. Normal Kenyans are way richer than danganyikansSasa jiulize tena,mnatengeneza pesa nyingi mbona bei ya unga iwe issue?(sema wanatengeneza wakubwa pesa SIO TUNA)
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Kwani nimekupa nn ?? Hujaona au ?? Alaf unacheka kabisa ukiona mazuri nyinyi ni watu gani musiopenda kukubali udhaifu wenu ?? Munaona kama dunia haijui kinachoendelea au???Kila siku? 😂😂
Ndio maana nikasema unipe data. Kwamba wiki jana walikufa watu ngapi, mwezi iliyopitia hivyo hivyo
Eti rice nimecheka mpaka basi 🤣🤣🤣 hio coffee yenyewe hakuna kitu zaidi ya tea na hio tea mashamba mengi yanamilikwa na wazungu na wanasiasa hao ndio wanatengeneza pesa wanawaacha maskini kama nyinyu munajifia na njaai have tea, coffee and rice farms etc and am not even the richest person in my village street and i am making alot of money. Normal Kenyans are way richer than danganyikans
Ww huoni hata aibu kuskia wanavunzi zaidi ya 3.2m wanakumbwa na njaa ?? Au ni fakhari kwenu??🤣🤣🤣🤣🤣 nani kasema hii link nimemaanisha kufa au unatafuta njian ya kutokaKwamba hao 3.2m wamekufa? 😂😂😂😂
Your desperation is on another level bongolala
Kwani mkuu wewe kipimo cha utajiri wa nchi unakipima kwa kutumia nini, GDP au maliasili za nchi? Au uchumi wa mtu mmoja mmoja au unatumia hali ya raia kujikimu, unatumia kipimo kipi tafadhali niambie mkuu mana kwa hizi nchi zetu za third world mmoja kumtambia mwenzake kwamba ni tajiri naona kama tunachekesha hivi au we unaonaje mkuu.Kenya is still richer than Tanzania in every measurable metric
Barabara zipo Boss ila ni za kubanana sana pia ni za kiwango cha chini sn, ila hamna shida nimekuelewa mkuu.Kwa hivyo hujaona barabara kwenye hizi picha? Uko na tatizo mahali kama hujaona Barabara hapaView attachment 2562338
Gdp, gdp per capita na human development index HDI ndo vipimo vya standard ya maisha ya wanachi katika nchi fulani na Kenya imeizidi Tanzania kwa zoteKwani mkuu wewe kipimo cha utajiri wa nchi unakipima kwa kutumia nini, GDP au maliasili za nchi? Au uchumi wa mtu mmoja mmoja au unatumia hali ya raia kujikimu, unatumia kipimo kipi tafadhali niambie mkuu mana kwa hizi nchi zetu za third world mmoja kumtambia mwenzake kwamba ni tajiri naona kama tunachekesha hivi au we unaonaje mkuu.
Sasa mbona mnaandamana kulalamikia eti bei ya unga iko juu?😂Kenya tunatengeneza pesa nyingi kwa kilimo kuliko Tanzania
Haya mambo ya njaa mpambane sana ndugu zetu muyamalize yanaaibisha nchi kiujumla.Kila siku?
Ndio maana nikasema unipe data. Kwamba wiki jana walikufa watu ngapi, mwezi iliyopitia hivyo hivyo
sababu ni haki yetu kuandamana kama bei ya unga iko juuSasa mbona mnaandamana kulalamikia eti bei ya unga iko juu?😂
Sawa boss kila la heri.Gdp, gdp per capita na human development index HDI ndo vipimo vya standard ya maisha ya wanachi katika nchi fulani na Kenya imeizidi Tanzania kwa zote
Yaani mnachekesha sana nyie nyang'au. Sasa mbona unajidai kuwa mnatengeneza pesa nyingi kwa kilimo?sababu ni haki yetu kuandamana kama bei ya unga iko juu
sababu tunatengeneza pesa nyingi kwa kilimo kuliko danganyika na kenya ni nchi kame 75%Yaani mnachekesha sana nyie nyang'au. Sasa mbona unajidai kuwa mnatengeneza pesa nyingi kwa kilimo?