Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii ingekuwa inajengwa huko Tanganyika the whole world would have known
110m dollars phase one upto 40,000 tonnes annually na hatupigi kelele

20230322_233540.jpg
 
The same way you look our issues of governance through tribalism is the same way we look of ur governance through only one party CCM. Uzuri au ubaya ni kila mtu anajua ya kwake. As have told you sisi bargaining of national cake is done through our origin of blocs & the population. We can't bury our head in the sand and assume we don't have tribes. Kila kabila lazima napenda la kwao kwanza kisha tuna negotiations na yule ambaye ana self ideology kama wewe in the grassroots level. Kwa hvyo siasa yetu ni local, its politicians who cause friction between masses.
Kitu muhimu duniani ni amani, watu waweze kufanya kazi zao kwa amani na utulivu, baada ya amani binadamu anahitaji haki katika fursa za uchumi, haki na kuthaminiwa utu wake. Hi kauli yako ya "Kila kabila huwa inapenda kwao kwanza" huu ni ujinga na upuuzi unaoimaliza Kenya, hatuna huo ujinga huku TZ.https://youtu.be/a7azlJymsfM

Sasa Kenya hakuna amani, fursa za kiuchumi zinategemea na kabila lako, 50% ya teuzi za nafasi zimechukuliwa na kabila 2 pekee, Kenya hakuna haki(huko kwenu bila kutoa Rushwa huwezi kupata haki). Kenya thamani ya utu hutegemea kabila na uwezo wa fedha, masikini hana utu huko Kenya.https://twitter.com/BobbyVj/status/1638616333649584138?t=oN34G2Te4uIdBKU-RRI_jQ&s=19

Tanzania hayo yote hayapo, tunaishi kwa amani, Kila mtu Yuko na fursa sawa kufikia hata kuwa rais wa nchi bila kujali kabila au dini yake, na hatusumbuliwi na Rushwa. Tunacho chama chenya "political Ideology", sio ninyi kila siku vinaanzishwa vyama hata havina agenda za maendeleo, muhimu ni kuingia madarakani.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Arusha kipo Kiwanda Njiro pale... Mbona wanaweka tena na Moshi jirani tu hapo?

Hawataki kutanua uwanja na masoko? Distribution zones hapo zitakuwaje?

SBL nao wako na kiwanda Moshi, Huko bia watauziwa buku buku...
Unawapangia taasisi binafsi wawekeze wapi? Umekuwa mzee Mwendazake wa Chato?
 
One of the best measures of poverty is the ease access to food. There is no great wealth in the world like good health which you cannot talk about if the access to food is poor.



If Tanzanians are worse off, kindly provide us with such kind of stories below.


Kenya is still richer than Tanzania in every measurable metric
 
Unga sio staple food ya France lakini wanaprotest sababu ya high cost of living which includes basic commodities zenye equivalence ya unga huko kwao
Fanyeni siasa ya kilimo kwanza,hamtawahi pata bei nafuu kwa mahindi ya kununua,
Alafu mmesoma na bado hamjaelimika

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom