Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Arusha kipo Kiwanda Njiro pale... Mbona wanaweka tena na Moshi jirani tu hapo?

Hawataki kutanua uwanja na masoko? Distribution zones hapo zitakuwaje?

SBL nao wako na kiwanda Moshi, Huko bia watauziwa buku buku...
Watu wnaakunywa bia kaskazini sio mchezo

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Fanyeni siasa ya kilimo kwanza,hamtawahi pata bei nafuu kwa mahindi ya kununua,
Alafu mmesoma na bado hamjaelimika

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Elimu Yao ni ya kuwawezesha kwenda kufanyakazi nchi za nje Ili kutumia "Remittances", sio kujenga uchumi wao kutokea ndani.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Here below you can see the difference between diesel and electric powered trains.

To operate a diesel powered train is costlier than electric powered one as fuel has to be sourced abroad in USD plus wear and tear of the mechanical engine.

Electric train can be operated at a fraction of the cost used to power diesel driven trains.

 
Sasa hii picha uliyoweka ili ilete mantiki ilipaswa kuwe na miundombinu wezeshi mfano barabara makini ili kusadifu maghorofa lakini bado barabara hazijapewa kipaumbele hapa na ndiyo muhimili wa ukuaji wa uchumi kwa hizi nchi zetu maskini.
Kwa hivyo hujaona barabara kwenye hizi picha? Uko na tatizo mahali kama hujaona Barabara hapa
IMG_20230322_205121.jpg
 
Mwambie. Ukanda huu hakuna nchi inaingiza pesa nyingi kwa horticulture kushinda Kenya
Na mbona munakufa njaa shida iko wapi ?? Au maisha ya mkenya hayana thamanu mbele ya pesa ?? Badilikeni dunia inawatupa mkono kwa sifa za kipuuzi
 
Na mbona munakufa njaa shida iko wapi ?? Au maisha ya mkenya hayana thamanu mbele ya pesa ?? Badilikeni dunia inawatupa mkono kwa sifa za kipuuzi
Hebu niletee data ya idadi ya wakenya wamekufa njaa mwaka huu pekee yake
 
Back
Top Bottom