Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Baada ya Kwala City Sasa Kuna Kibaha, Serikali inawekeza Zaidi ya bil.130 kwenye mradi.🔥🔥🔥

Viwanda 203 ,pesa more than Til.3 za Tanzania.

 
IMG_3184.jpg

IMG_3183.jpg

IMG_3182.jpg

So there was this sugar company capable of producing 10,000 tones of sugar almost complete and nobody even knows hehe we do our stuff with stealth, online we complain but kwa ground things are happening
 
Our government haijawahi fanya huo upuuzi wa kuachilia bidhaa zipande juu hivyo. Aidha tutatoa kodi au tutafanya jitihada ya kuongeza uzalishaji wa hapa ndani.

Our system of sorting issues za high cost of living are different from yours; ours dont need maandamano normally the government reacts quickly to any spike in the cost of living.
Beiya unga, mafuta ya kupika, na sukari ni shs huko kwenu?
 
Acha double standards kama unasema unga kwenye hiyo protest yenu is synonymous to high cost of living why is it hard for you to equate high cost of living to unaffordability ya basic needs.View attachment 2561680
Wapi double standards hapo ama maana ya double standards ndio hujui?

Jamaa alisema wafaransa waliandamana ila hakuandamana kuhusu unga ndio nikashangaa mfaransa atajuaje unga wa ugali wakati hali ugali!

Huku kwetu neno unga imetumika sana kwa sababu mahindi ndio staple food in Kenya but haya maandano are about high cost of living, not unga
 
We maandazi kweli hata at club levels bendera ya nchi inapeperushwa pia besides kama Simba CAF wanavaa jezi zimeandikwa Visit Tanzania.
Hiyo ni promortion bongolala. Hata jersey ya Arsenal imeandikwa Visit Rwanda. Sasa inamaanisha kwamba Arsenal ni club ya Rwanda? Ama kwamba wanapeperusha bendera ya Rwanda? Wewe ndio mandazi, tena ile imeungua kabisa!
 
Bongolala, people demonstrate for various reasons. From schools to colleges to countries, demonstrations and protests are not a new thing. But Utaelewaje wakati hata mgomo wa shule/chuo hujawahi shiriki?

Kenyans were protesting against high cost of living, sio unga. Unga was adversely mentioned because it's the staple food in Kenya.

Maandano kama hayo yalifanyika as recent as last year in England, a developed country.


Sasa wewe unaposema kwamba nchi kama US ilishatoka huko 500 years ago, just shows how much you are out of touch with the rest of the world.

Nyinyi mitanganyika hakuna mnachojua zaidi ya kupiga domo. Hapo hamna mpinzani!
Wacha kuongea kiingereza kingi cha ugoko na uongo uong, kilichowaleta maandamanoni ni bei ya unga wa ugali kuwa juu .. alianza Erick omondi kugawa unga wa ugali ..🤣🤣🤣🤣 unajikuta mjuaji wa kuumba umba maneno.? 🤣🤣 Taarifa za uongo wa hivyo idanganyeni dunia huko mbali sio sisi, tunawajua nyinyi kinaganaga
 
Know the difference between human rights violations and democracy. These are two different things
🤣🤣 We ni mpumbavu tu mmoja kumbe .. hata democracy enyewe umesoma mpumbavu wewe.? 🤣🤣 kama kuna human rights violation we jua tu hapo hakuna democracy young bro.. pitia hii 👇 nimekusaidia
Screenshot_20230322-193202_1.jpg
Screenshot_20230322-193404_1.jpg
we jamaa pumzika kwanza. Unatoa maboko tu 🤣🤣
 
Wacha kuongea kiingereza kingi cha ugoko na uongo uong, kilichowaleta maandamanoni ni bei ya unga wa ugali kuwa juu .. alianza Erick omondi kugawa unga wa ugali ..🤣🤣🤣🤣 unajikuta mjuaji wa kuumba umba maneno.? 🤣🤣 Taarifa za uongo wa hivyo idanganyeni dunia huko mbali sio sisi, tunawajua nyinyi kinaganaga
Nikisema kwamba nyinyi hakuna mnachojua zaidi ya kupiga domo. Kenyans are protesting against high cost of living. Wewe upo Tandale mimi nipo Kenya alafu sasa unajifanya unajua zaidi kuniliko mimi mkenya!
 
Back
Top Bottom