Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,806
- 41,703
🤣🤣🤣 Ukikubali ukweli wala hutokufa, tunajua kila kitu hadi kufikia kuandamana nyie wapumbavu wa hii region, mtu mmoja kule Twitter alipost ku expose ujinga wa wakenya wengi wazembe mnaoamini kwenye kupewa pesa na serikali badala ya kilimo 👇Nikisema kwamba nyinyi hakuna mnachojua zaidi ya kupiga domo. Kenyans are protesting against high cost of living. Wewe upo Tandale mimi nipo Kenya alafu sasa unajifanya unajua zaidi kuniliko mimi mkenya!

