Unazungumzia jengo lenye tangazo la Butterfly hotel au unamaanisha nini?Speak the truth and it will set you free. Nipeeni picha ya butterfly hotel iliyopo Ilala tuone basi
Unazungumzia jengo lenye tangazo la Butterfly hotel au unamaanisha nini?Speak the truth and it will set you free. Nipeeni picha ya butterfly hotel iliyopo Ilala tuone basi
www.capitalfm.co.ke
Unaeza ona tofaut ya nn tunaongea hapa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kwa jinsi unavyoongea, is it also right to say that kijiko ya nyama ipo posta just because they are captured in one picture?View attachment 2542030
Ajabu kweli 🤣🤣 mtu unalazimisha kuijua DAR kwa picha kana kwamba umeshawahi kufika, poor guy.. haya tueleze hii 👇 ni Kariakoo mtaa gani.?Najua kiingereza hukielewi but I understand you are a bongolala. I said bottom right corner and here it is
View attachment 2541982
Bado huoni jengo limeandikwa butterfly hotel hapo? Na je, lipo Kariakoo au la? 😂😂😂
Hii Dar yenu linganisheni na Kampala coz haina cha kulinganisha na Nairobi nje ya hiyo cbd yenu
Ndio maana nawaambia hii Dar yenu linganisheni na Kampala. Hiyo Ilala haiingii hata robo ya Eastleigh, Wacha hata KilimaniAjabu kweli 🤣🤣 mtu unalazimisha kuijua DAR kwa picha kana kwamba umeshawahi kufika, poor guy.. haya tueleze hii 👇 ni Kariakoo mtaa gani.? View attachment 2542137🤣🤣
Mwenzako alisema hiyo butterfly hotel ni bango la matangazo na kwamba haipo KariakooPicha nimepiga mimi miaka hiyona kwenye hiyo Butterfly Hotel ndio mtaa wa Muheza ambao ni mwisho wa Kariakoo, Na mbele ndio Flats za TBL kuelekea Karume na Mwalimu tower, Hiyo Picha strictly ilifocus kuonyeha Jinsi Ilala inaibuka, Kuna nyingine nimepiga same location ikionyesha Magomeni mpaka PSSPF tower , So nimezoom kuanzia mwisho wa Kariakoo kuelekea Karume hadi Ilala. Upo sahihi Mwenyekiti.
Kuna nyingine zaidi ya haya unitag? pengine mama Samia ameongeza CBD nyingine in Dar, sasa zimekua mbili...,🙄😆😆😆😆Kwani mzee wetu kwa tafsiri yako wewe Dar CBD ni ipi mkuu.?
Wanajitoa ufahamu hawa vilaza, kila kitu iko open..., dunia ya leo porojo na uongo hazisimami..., wakipata anything nje ya CBD yao kama Eastleigh waambie wanitag..., Dar yoote tumeichambua, ni uswazi 80%..,Ndio maana nawaambia hii Dar yenu linganisheni na Kampala. Hiyo Ilala haiingii hata robo ya Eastleigh, Wacha hata Kilimani
IlalaView attachment 2542231
Eastleigh View attachment 2542237View attachment 2542238
Eastleigh hata umeenda mbali sana. Tuwapatie Lucky Summer, an ordinary estate in Nairobi. Watuonyeshe sehemu imejengeka kuliko Lucky Summer nje ya hiyo cbd yao tuoneWanajitoa ufahamu hawa vilaza, kila kitu iko open..., dunia ya leo porojo na uongo hazisimami..., wakipata anything nje ya CBD yao kama Eastleigh waambie wanitag..., Dar yoote tumeichambua, ni uswazi 80%..,
Hawa ni kujichocha wanajichocha tu.., lately sina hamu nao tena, yaani for the last 5 years Dar haijaongeza anything substantial..., no major skyscrapers nor interchanges , bypasses nor estates, while Nairobi zimejengwa, hawana jibu,, from westy to upperhill kuna major skyscrapers coming up Dar imezubaa wameanza kulaumu Samia Suluhu..,Eastleigh hata umeenda mbali sana. Tuwapatie Lucky Summer, an ordinary estate in Nairobi. Watuonyeshe sehemu imejengeka kuliko Lucky Summer nje ya hiyo cbd yao tuone View attachment 2542271
Watakumbia hili eneo la linear development lenye maghorofa matano kando ya barabara na uswazi bembezoni ni cbd pia 😂😂😂😂Kuna nyingine zaidi ya haya unitag? pengine mama Samia ameongeza CBD nyingine in Dar, sasa zimekua mbili...,🙄😆😆😆😆
![]()
![]()
![]()
Kwasababu lengo lako ilikua useme hapo sio lala full stop ndio maana nikakushangaa🤣Mwenzako alisema hiyo butterfly hotel ni bango la matangazo na kwamba haipo Kariakoo