Mashashola
JF-Expert Member
- Feb 23, 2020
- 4,389
- 5,792
haina shida.. tutapambana naoJumatatu ijayo polisi wanakungoja na mabomu ya machozi 😂🤣
haina shida.. tutapambana naoJumatatu ijayo polisi wanakungoja na mabomu ya machozi 😂🤣
Kwahyo mki protest ndio muharibu Mali za watu?hamuwezi protest kistaarabu?every democratic citizen worldwide complains to get better services from goverment except Danganyikans... and its a right in the constitution to protest. Kenya still remains the largest economy in EAST Africa
Largest economy inayoomba bei ya unga ishuke lolevery democratic citizen worldwide complains to get better services from goverment except Danganyikans... and its a right in the constitution to protest. Kenya still remains the largest economy in EAST Africa
Mtachoka tu. Bei ya unga iko pale pale.haina shida.. tutapambana nao
Sio nyinyi mliokuwa mnajigamba humu eti ma RC wenu wamenunuliwa magari mapya? Tofauti na sisi ni kwamba huu upuzi tunaukemea, sio kuushangilia.Watakwambia ni hustler fund 😜😜😜 Watu wanarudisha pesa zao za kampeni Kwa kupiga Cha Juu 🤣🤣
Wenzetu akina nani? Mtanzania muoga anajua maandamano ni nini? Nyie hata Rais awanyie midomoni mtanyamaza tu. Mambo ya maandamano achieni wajasiri.Unafikiri hiyo ni sifa? Jifunzeni kwa wenzenu maandamano ya amani yanakuwaje. Acheni ufala.
Tanzania even their independence they were given, hawakupigania kama nchi zingine. Nchi ya wanyonge.every democratic citizen worldwide complains to get better services from goverment except Danganyikans... and its a right in the constitution to protest. Kenya still remains the largest economy in EAST Africa
Viumbe waoga. Can't question anythingWatanzania ndio viumbe wastaarabu zaidi kwenye hili bara zima la Africa.. no wonder Mungu akatujaalia Ardhi yenye rutuba, water bodies mingi na utajiri wa madini
Protests mara nyingi hua peaceful polisi wasipotumia nguvu nyingi. Hapa ilikua failure kwa national policeKwahyo mki protest ndio muharibu Mali za watu?hamuwezi protest kistaarabu?
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Hata Tanzania vitu zimepanda, difference ni watanzania wamelelewa kutoquestion anything
Angalia watunisia au afrika ya kusini walivyoandamana sio nyie nyang'au na masufuria yenu.Wenzetu akina nani? ...
Yet Ghana Cameroon Senegal Nigeria ziko na the best national teams by far.Baada ya Simba SC kuingia robo fainali CAFCL na Yanga SC kuingia robo fainali CAFCC, sasa Tanzania tupo nafasi ya 7 kutoka 11 kwa association ranking kupitia clubs performance kwa mfumo wa CAF
View attachment 2560294
Wacha Watunisia na Wasauzi watueleze. Wee kaa hapo chini bongolala na uoga wako.Angalia watunisia au afrika ya kusini walivyoandamana sio nyie nyang'au na masufuria yenu.
Zimepanda ndio,siunaona masoko yamefunguliwa huko kwenu mnapata vitu vingap kutoka Tz?magu alivyobana wakulima walikua wanapata hasara watu wakawa wanalia kwann Pembejeo wananunua wenyewe alafu walivuna muwabane sehemu za kuuza?matokeo yake ndio haya...yaani tumepata tulichokiombaHata Tanzania vitu zimepanda, difference ni watanzania wamelelewa kutoquestion anything
Which one between having best national team and having best football league has economic benefits to the people and country.Yet Ghana Cameroon Senegal Nigeria ziko na the best national teams by far.
They don't deal with amateur leagues
Jumatatu ijayo polisi wanakungoja wewe nyang'au, huna akili😂Wacha Watunisia na Wasauzi watueleze. Wee kaa hapo chini bongolala na uoga wako.
The different between these 3 countries is, while South Africa and Tunisia they are civilized citizens, they do political demonstrations, in Kenya is uncivilized people, demonstrations are not political rather are anchored on Tribalism.Wacha Watunisia na Wasauzi watueleze. Wee kaa hapo chini bongolala na uoga wako.