REAL Comrade Kipepe
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 3,600
- 11,516
Kuna rushwa kubqwa inaendelea pale TFF katika kuajiri makocha na serikali wapo wapo tu. Huyu Kocha mpya alikuwa akifundisha Burundi kashindwa, Kaenda Kenya, wakapigwa na Lesotho akatimuliwa, kaenda Botswana wakapigwa na Malawi, pia alikuwapo Congo nako alifeli vibaya. Hapa ametoka Asia hukoalipokuwa akifundisha, na kapoteza mechi karibia zote.Nimekuelewa kaka, tatizo halipo kwenye ligi wala kuwa na wachezaji wageni bali timu ya Taifa. Kwa hoja yako hiyo ya competence, inakuwaje nchi za Afrika Magharibi zenye ligi mbovu kuweza kufanya vizuri kwenye timu zao za taifa?
Kipindi pekee pale TFF kuwekuwa na uchaguzi wa kocha mzuri ni kipindi cha Leordega Tenga, lakini kwa bahati mbaya, ligi yetu ilikuwa bado mbovu.
Tafuta mechi yeyote ya Kocha Jan Poulsen akiwa Taifa Stars, huyu alikuwa benchi la ufundi Dermark walipochukua Uero.