Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ngoja niwarudishe darasani kidogo.

UBEPARI NI NINI?
Ubepari ni pale ambapo uchumi wa nchi unashikiliwa na watu ambapo bei za bidhaa katika nchi za kibepari zinajipanga zenyewe, yani kwa mfano wewe una shamba la nyanya alafu ukavuna mazao yako baada ya hapo unaweza ukayapeleka sokoni na kuuza kwa bei unayotaka wewe pasipo kuingiliwa na mtu yeyote. Bei ya bidhaa katika ubepari huwa inajipanga yenyewe by the force of demand and supply, hakuna mtu wa kupanga bei na ndiyo maana huwezi kusikia nchi za kibepari zinaandamana kisa gharama za maisha kuwa juu. Gharama za maisha zikiwa juu katika nchi za kibepari unatakiwa kufanya sana kazi ili ziwe chini, hakuna wa kumlilia kwenye nchi za kibepari mana uchumi haupo mikononi mwa serikali.

UJAMAA NI NINI?
Ujamaa ni pale ambapo uchumi wa nchi unashikiliwa na serikali yani bei za bidhaa katika nchi za kijamaa huwa zinaweza kuingiliwa na serikali, kama bei za bidhaa zikipanda hovyo hovyo raia wa nchi za kijamaa wanaruhusiwa kui question serikali, maana serikali ndiyo imeshikilia uchumi wa nchi za kijamaa. Katika nchi za kijamaa huwezi kuamka tu na kusema bei ya sukari ni shilingi elfu kumi kwa kilo badala ya elfu tatu.

Swali linakuja, je hawa mazinjathropus wapo katika uchumi upi kati ya hizo mbili nilizozielezea hapo juu.
 
Do you know which side of the political devide I belong to?

Na ni wapi wakisema wanaenda kumng'oa Ruto mamlaakani? Hivyo ndivyo sisiemu wanavyowaambia?

Azimio were simply taking the message to Ruto's doorsteps and such things happen all over the world.

It's a common thing to see demonstrators on 10 Downing Street or outside The White House. But you won't understand anything coz you are a bongolala and your country is Tanganyika!

Kwasababu mmeandamana kisa bei ya unga imekuwa kubwa, hivyo basi kuanzia leo nyie mpo katika uchumi wa ujamaa na Tz ndio capitalistic nation because you will never hear capitalists cry about high cost of living, punga.
 
Punga wewe, US hawaandamani kisa chakula washatoka huko miaka mingi iliyopita zaidi ya 500, nyie watu wa kale a.k.a mazinjathropus ndio mmebaki kupiga kelele za chakula karne hii ya 21, mnaiaibisha sana East Africa pumbavu nyinyi tangu uhuru hadi leo mnapiga kelele za chakula tu hamuoni haya?
Huyu ametokea wapi tena
 
The pride of any country is the performance of its national team at the international stage. Timu ya taifa ndio inapeperusha bendera ya nchi. Nitajie ni wapi bendera ya Uingereza hupeperushwa Arsenal ama Man Utd wanapocheza
We maandazi kweli hata at club levels bendera ya nchi inapeperushwa pia besides kama Simba CAF wanavaa jezi zimeandikwa Visit Tanzania.
 
Ngoja niwarudishe darasani kidogo.

UBEPARI NI NINI?
Ubepari ni pale ambapo uchumi wa nchi unashikiliwa na watu ambapo bei za bidhaa katika nchi za kibepari zinajipanga zenyewe, yani kwa mfano wewe una shamba la nyanya alafu ukavuna mazao yako baada ya hapo unaweza ukayapeleka sokoni na kuuza kwa bei unayotaka wewe pasipo kuingiliwa na mtu yeyote. Bei ya bidhaa katika ubepari huwa inajipanga yenyewe by the force of demand and supply, hakuna mtu wa kupanga bei na ndiyo maana huwezi kusikia nchi za kibepari zinaandamana kisa gharama za maisha kuwa juu. Gharama za maisha zikiwa juu katika nchi za kibepari unatakiwa kufanya sana kazi ili ziwe chini, hakuna wa kumlilia kwenye nchi za kibepari mana uchumi haupo mikononi mwa serikali.

UJAMAA NI NINI?
Ujamaa ni pale ambapo uchumi wa nchi unashikiliwa na serikali yani bei za bidhaa katika nchi za kijamaa huwa zinaweza kuingiliwa na serikali, kama bei za bidhaa zikipanda hovyo hovyo raia wa nchi za kijamaa wanaruhusiwa kui question serikali, maana serikali ndiyo imeshikilia uchumi wa nchi za kijamaa. Katika nchi za kijamaa huwezi kuamka tu na kusema bei ya sukari ni shilingi elfu kumi kwa kilo badala ya elfu tatu.

Swali linakuja, je hawa mazinjathropus wapo katika uchumi upi kati ya hizo mbili nilizozielezea hapo juu.
Hii kidogo inafikirisha mana capitalism na maandamano ya chakula ni vitu viwili tofauti, yote kwa yote tuishi nao tu hawa ndugu zetu mradi tushajua udhaifu wao basi inatosha, sisi tuishi nao hivyo hivyo wakihitaji msaada tuwape tusiwafanyie roho mbaya sisi sote ni wa East Africa.
 
Huyo anataka utaje unga wakati mfaransa hajui unga ni nini!
Acha double standards kama unasema unga kwenye hiyo protest yenu is synonymous to high cost of living why is it hard for you to equate high cost of living to unaffordability ya basic needs.
Screenshot_20230322-171433.jpg
 
Watanzania sasa mpo obsessed na kenya. Nyuzi zaidi ya 20 kuhusu maandamano ya kenya na hakuna hata moja imefunguliwa na mkenya
In Kenya everyday is a breaking news. Kama sio maandamano basi njaa au corruption, slums, cholera, sewage spills

Hivi vitu huwa vinatushangaza sana sisi huku ndio maana tuna pay attention sana.
 
Sasa tukisema ni kuhusu high cost of living in nini huelewi? Wewe unaweza kununua hiyo mafuta na unga kwa bei ya juu kuliko hata hii yetu but you won't do anything about it coz huo uhuru wa kujieleza hauna. Alafu uko hapa kupiga kelele dhidi ya wakenya wanaondamana dhidi ya gharama ya juu ya maisha!!
Our government haijawahi fanya huo upuuzi wa kuachilia bidhaa zipande juu hivyo. Aidha tutatoa kodi au tutafanya jitihada ya kuongeza uzalishaji wa hapa ndani.

Our system of sorting issues za high cost of living are different from yours; ours dont need maandamano normally the government reacts quickly to any spike in the cost of living.
 
Back
Top Bottom