joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Stima na njaa, kipi ni muhimu?,2019? Pole sana[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji1787].
Unaambiwa stima itapotea lini, kwanzia saa ngapi Hadi saa ngapi na ni wapi. Very organized, ya Tanzagiza hata TANESCO hawajui stima inapotea ilienda wapi[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji23]
Hakuna nchi hapa Afrika inaweza fikia hali hii, Kenya ni mavi kabisa
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app