The big brothers in AFRICA
View attachment 2555660
Kwa hiyo Rostam ni mkenya? Labda tukujuze Rostam ni mwanasiasa wa Tanzania,amekua mbunge wa Igunga Tabora.Rostam sio mhamiaji ana babu zake huko huko tabora.Sema biashara haiachi njia.Rostam ni mwarabu huyo. Hakuna siku mtanzania atawaiwekeza Kenya tofauti na wale hawkers wa kuuza vijiko na sahani Nairobi 😂😂🤣
Haya mambo ya kipumbavu ndiyo sa100 anataka kutuletea tz na waarabu koko wake na genge la msoga .....fisadi singasinga ni kama mungu kwao ...au muarabu na mabeberu ni miungu kwa serikali ya samiaSio bendera tu mpaka presidential portrait tena ni MP wa garissa [emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 2555603
Tabora wako wengi sana toka enzi zacakina tipu tipuWarabu wanatoka region gani Tanzania? Babu ya Babu yake alizaliwa region gani Tanzania?😂😂🤣🤣