Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hivi ninyi mnamjua Diamond au mnamsikia, mtu ambaye anawekeza miradi pamoja na Holly wood super stars, ninyi mnataka beach za Diani, mashamba ya miti na shule, are you really serious?.

Mwanamziki pekee ambaye anaweza kumzidi Diamond katika uwekezaji ukanda huu ni Fally Ipupa na Kabda Kofii Olomide kwasababu ameanza zamani.

Wasafi TV na Redio stations pekee, zinatosha kumfanya kuwa mwanamziki tajiri kuwazidi wanamziki wa Kenya wote kwa pamoja.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Huyo nyang'au huwezi kumbadilisha; mwache aendelee kuamini anachokiamini.
 
Nairobi. Father of all Cities in East Africa.

20230222_204412.jpg
 
huyu anawapuna Wakunya kwenye kila angle kwenye burudani mpaka chakula hawapi poo!

ile mentality yao waliorithishwa na mababu zao 'Watanzania ni wavivu' siku hizi imeadimika kichizi 😂😂 saivi Wamebaki na karata mbili tu English na currency, hii ya currency baada ya mwaka na yenyewe inakufa 😂😂😂
 
Kunyaland mpo? Maji Tanzania ni 100% bila GDP ya Makaratasi [emoji16][emoji16]

Hawa wakulungwa ni wa kuwauzia kila kitu hata maji itabidi tujenge mabomba makubwa ya kuwapelekea maji toka lake victoria maana it seems they cannot do any project successfully ulaji unakuwa mwingi mwisho project hujifia na wananchi kuteseka.
 
Sasa mko tu na 7000 km of tarmac in tz while Kenya is at 30,000km with a total road network of 180,000...facts are against your wishful thinking. Do you even know what a policy is.
Sawa lakini all our districts and regions are connected nyie sasa ni ushuzi kama wa GDP number kubwa lakini hamuwezi kujilisha pia forex reserves kubwa lakini kuna uhaba wa dollar. Something is off somewhere [emoji848] data za kupika as usual tumezoea.
 
Wewe hujatembea Dunia, ndio sababu utapapatikia Malaya Kama Akothe, huyo hana uwezo wa kumiliki Nyumba kubwa Kama hiyo Europe, hana helahuyo, onyesha miradi gani inayomuingizia pesa?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Wewe ulitembea dunia hadi ukagundua Zurich ipo France! 😂😂😂
Ni dunia gani hiyo ulitembea?
 
Back
Top Bottom