Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ya Tanzagiza sio maintenance 🤣🤣😂🤣. Alafu kwa kukata umeme kwani ulitaka maintenance ifanyika ikiwa watu wanatumia stima? Umepeleka akili wapi chokoraa😂😂😄🤣.

Ebu tuonye notice like this from TANESCO😂😂🤣.


 
Ya Tanzagiza sio maintenance 🤣🤣😂🤣. Alafu kwa kukata umeme kwani ulitaka maintenance ifanyika ikiwa watu wanatumia stima? Umepeleka akili wapi chokoraa😂😂😄🤣.

Ebu tuonye notice like this from TANESCO😂😂🤣.




 
Kuna sababu nyingi ya umeme kukatika inaweza ikawa maintenance moja wapo au transformer kuripuka au shida yoyote inayohusiana na umeme nakupa mfano hapa dar wanabadilisha sana nguzo kupisha ujenzi wa BRT phase 2 and 3 so unataka watoe nguzo bila kukata umeme au? Shida yenu nyinyi ni kujifanya mahuma matatizo wakat kunamamtizo yaliokubuhu na hayana tiba 🤣🤣🤣🤣🤣
Ya Tanzagiza ni mgao😂😂🤣🤣.
 
That is only for failed state, even hunger is for maintenance, isn't?


Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app

2019? Pole sana🤣🤣😂🤣.

Unaambiwa stima itapotea lini, kwanzia saa ngapi Hadi saa ngapi na ni wapi. Very organized, ya Tanzagiza hata TANESCO hawajui stima inapotea ilienda wapi😂🤣🤣😂

 
What is the price per unit?, is it affordable for household purposes?, Will it stimulate your manufacturing sector or discourage investments, those are very important questions to ask yourselves before chest thumbing.

I hope by now majority of you càn connect your GDP and high cost of living and hunger in Kenya. Why there is disconnection between big GDP and poor standard of living in Kenya. The higher the GDP, the higher is the number of people who can't afford to buy food.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
GDP ya mikopo hiyo.
 
Maintenance na watu wanakatiwa umeme ovyo 🤣🤣🤣🤣 ww unajuaje kama ya tanzanian sio maintenance ??
👇👇👇👇👇👇👇👇





Tweets zako ni za 2011, 2016, 2011, 2011 na 2017. Hata huna aibu kupost vitu za za miaka kumi nyuma🤣🤣😂. Mimi nawapostia za Jana na Leo wewe unapost za 12 years ago🤣🤣😂🤣
 
Africa yote bado sana kwenye swala la umeme yani bado sana kua na umeme wa uhakika hio south africa yenyewe inalia na tushasaini kua tutawauzia umeme juzi itakua hio kenya nchi inalaana kila kona 😆😆😆😆
Mnawauzia umeme kupitia wapi? Ama mtakuwa mnabeba na meli?😂😂🤣😂
 
Back
Top Bottom