Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ni kusoma hujui ama ni kuelewa shida.
Hapo kwa footnote inasema nini?

The only thing South Africa buys from you is raw, unprocessed gold.

View attachment 2555422
We taahira unajua maana ya unprocessed gold? 😂😂😂😂😂 maana yake tunaeport land masses and hills yenye gold concentrates to SA? uchungu ukizidi akili matokeo yake ndio haya 😂😂😂 unaongea kama umekatwa kichwa
 
Ulitaka tu exports nn kama gold hutaki, unataka Gold zioze chini, hata nyie mkitaka tunawauzia tu sema hamna hela nyie wanuka mavi.
Muulize swali saud arabia ana oil na ana export crude oil au walitaka saud arabia wauze mahindi 🤣🤣🤣
 
Kwetu unaweza sema chochote unachotaka bila kufungwa. Naelewa hilo ni jambo geni bongolala.
Wabunge wa upinzani watafanya kazi yao, na serikali itafanya kazi yake.

Ukiwa na swali nenda ukaulize wasahibu wa IMF na World Bank. Hao ndio wamesema nyinyi ni maskini wakutisha.
angalau hatuli mavi ya ng'ombe kama ninyi wala mashonde 😂😂😂

 
Na bado hamuma umeme wa ubakika na umeme bei juu munalia kila siku [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hawa jamaa cant do any meaningful project all their projects are overpriced and are of low quality due to corruption. Soon tutawepelekea mpaka piped water in addition to electricity and gas na pia tutachukua sewage yao for disposal ili kuwaindolea aibu ya uchafu na Cholera kwenye karne hii ya 21.
 
Tanzagiza 😂😂🤣😂. Nangoja fala ajibu na tweets za 2002🤣🤣😂🤣

 
Mtawauzia kupitia wapi?🤣😂🤣😂
Tutawauzia kupitia hapa 👇👇👇
images - 2023-03-17T181718.115.jpeg
 
Tutawauzia kupitia hapa 👇👇👇
View attachment 2555535
Hakuna high power line ya kutoka Tanzagiza kuenda South Africa 😂😂🤣😂.

Alafu before mfikirie kusambazia South Africa stima, mjitosheleze kwanza, mnapoga kelele na only 30% ndio wameunganishwa na stima🤣🤣😂🤣.
 
ikifika na bado haijafika 241 units serious eeehh Mungu saidia taifa la kenya[emoji1787]



When a country is about to go under you will here alot of rhetorics from their leades about economic situation and the rest.
 
Back
Top Bottom