Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kuna kima mmoja alisema kuna shule yao 1 haifikii hata uzuri wa vyuo vyetu, natamani ajichanganye aanzishe battle ya vyuo, aanze na training centers, colleges and universities aone cha mtemakuni ila najua hawauwezi huu moto
Wakituona tumekaa kimya wanadhani wapo juu yetu. Wakenya kichwani hawana akili.
 
Alliance Girls High School

1678802998666.png

1678803077114.png


1678803151480.png

1678803215021.png

1678803289246.png

1678803345625.png
 
Wewe ni mtoto na hujielewi. Kama unasema ni timu moja moja ndio inaenda, ebu tuambie ni timu gani hiyo ilienda na walifika wapi.
Ulitoa kisingizio kuwa Girl Maria hayupo CAF competition sababu ya ban ya FIFA
Receipt
(Main points ni Girl Maria na FIFA ban).
20230314_170231.jpg

Ndo nikaja nikakuambia ban ya fifa sio sababu ya girl maria kutokuwepo kwenye CAF competition sababu hata kusingekuwa na ban, Girl Maria asingeshiriki.

Ngoja nikufananulie hapa.
Ban ilikuwa mwaka 2022 (Jan/Feb). Maana yake msimu wa CAF (2021/22) hapa ulikuwa unaendelea (ulianza Sept, 2021 na ukaisha June, 2022, yan ban ilikuja katikat ya huu msimu). Na washiriki wa huu msimu walitokana na league log ya mwaka 2020/21 ambayo nimeweka hapo (msimu kbl ya FIFA ban), girl maria alishika nafas ya 8
(so ban ya FIFA sio sababu ya Girl Maria kutoshiriki CAF, bali ni uwezo mdogo wa Girl Maria)
Screenshot_20230314-154530_Goal News.jpg


Tukija kwenye msimu wa 2021/2022 ambao ungetoa washiriki kwenye CAF competition ambayo yanaendelea saiz (yalianza Sept, 2022 na kuisha June, 2023, ban ilikuwa bado active). Girl Maria asingeshiriki kwa sababu alishika nafas ya 3 kwenye huo msimu
(so hapa tena, ban ya FIFA sio sababu ya Girl Maria kutoshiriki CAF, bali ni uwezo mdogo wa Girl Maria)
Screenshot_20230314-154501_Goal News.jpg


Haya, tukirud nyuma msimu wa CAF competition (2020/2021) ambao Girl Maria alishiriki kwa mara ya mwisho, alikutana na hiki kipigo nje ndani (yan alidinywa ghetton kwako na ghetton kwa jamaa) round ya mwisho kbla ya kuingia makundi


Hapa beautifu Girl Maria alipodinywa ghetton kwa jamaa
Screenshot_20230314-172014_Goal News.jpg


Na hapa, jamaa alivyomdinya tena bila huruma beautiful Girl Maria ghetton kwake nchin kenya, na kumwachia maumivu makali yasiyoelezeka kwake yey na ndugu na jamaa zake wote (mashabiki wa kikunya)
Screenshot_20230314-172046_Goal News.jpg
 
Yes UDART is a private company and soon another private operator will be on board
Mmiliki wa mradi wa BRT ni Government but operation inawezà fanywa kwa ubia ama ikapewa private kwa mkataba au serikali yenyewe
 
Hii architecture ya enzi za Moi ilitumika sana kwa shule alizojenga - Alliance High, Alliance Girls, Kapsabet High, Sacho High, Kabarak, Sunshine, Kabianga, Kapropita, Starehe, Pangani etc. Yalipendeza sana. A modification of the british architecture used on colonial buildings. Pale Bongo majengo ya shule plain sana architecture inaboo.
 
Back
Top Bottom