Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,806
- 41,703
Black Rhino Academy Karatu 👇
Wachana na hayo majengo ya wakoloni huko kwenu.. njoo uone vile modern buildings za mashule vile hukaa NairobiWalker
😂😂😂😂Mpe Vidonge.Hii battle ilipigwa mkaikimbia wote week nzima hamkurudi jf sasa mwenzenu kajikoroga acha mlinywe tu 😂😂😂
Bado nina shule first class kama 500 hapa kwenye gallery 😂
🤣 🤣 🤣 🤣 Wakenya bhana. Sasa hii ndiyo maisha halisi ya wanafunzi wa kenyaMajengo za shule za bongo very poor architecture.
Napenda vile tuna contemporary architecture, British Colonial architecture na modified British Architecture kwa shule zetu.NOVA PIONEER HIGH SCHOOL ELDORET
View attachment 2551087
View attachment 2551090
View attachment 2551092
Go check which universities rank highest in science in East Africa
Colonial schools 🤣 🤣 🤣 🤣Venessa Grant Girl's School Rongai.
View attachment 2551102
View attachment 2551097
View attachment 2551101
View attachment 2551103
Namna ambavyo British imewakalia chapati Wakenya Mungu anajua, babu zenu walipigana MAUMAU bure, your minds are still in colonial chains.Napenda vile tuna contemporary architecture, British Colonial architecture na modified British Architecture kwa shule zetu.
Huyo mkenya ni wa hovyo kupita hovyo yenyewe, kazidiwa battle anaanza ku praise wazungu, kuona ni kuamini kila mtu kaona humu kwamba Kenya kwenye shule bado sn kujilinganisha na Tz.Namna ambavyo British imewakalia chapati Wakenya Mungu anajua, babu zenu walipigana MAUMAU bure, your minds are still in colonial chains.
Evidence?🤣Yes UDART is a private company and soon another private operator will be on board
Tunahesabu shule walizoziweka. Haki ya Mungu wakenya ni waoga kweli. 🤣 🤣 🤣 Na wanajua tumewakalia kooni hawwawezi pumua. Nawasubiri tu wafikishe walau shule kumi na tano. Nifungulie bombaZimewekwa shule zaidi ya 200 humu kutoka Tz, lkn wao wanaweka kashule kamoja wanajificha, baadae mtu anaweka tena kashule kale kale, sasa hiyo ni battle au upuuzi.
Unajua kati ya vitu napenda kwenye hii battle ni fact kwamba kila kitu Wakenya wanachodhani au waliamini wako juu yetu wakileta ubaoni wanapigwa upper cuts za kutosha, tena sio kwa stories bali kwa ushahidi makini kabisa. To be honest kwenye shule hata mimi nimestuka, sikujua Bongo tuna shule kiwango namna hii. Wazee waliopambana na hii battle mmetuheshimisha sana. My dear neighbors, the Giant is awake heading to his mighty sit, mpishe wenyewe au mtolewe kwa nguvu. Kazi kwenu.Huyo mkenya ni wa hovyo kupita hovyo yenyewe, kazidiwa battle anaanza ku praise wazungu, kuona ni kuamini kila mtu kaona humu kwamba Kenya kwenye shule bado sn kujilinganisha na Tz.