Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nairobi pazuri sana
View attachment 2550576
Nyambaf! huu mji ni ovyo kabisa. Cheki huo mpangilio wake yaani ni ovyo tu. Hivi Kenya huwa hakuna mpangomji ("planned settlement" kwa wale wanaopretend hawajui Kiswahili)
Kenya ni ovyo, Nairobi ni ovyo
Yani mtanzania has the guts kutaja mpangomji wakati Dar nzima hakuna mpangilio wowote! Wewe ni kama ulijoin hii battle juzi. Wenzako walishakubali kitambo sana Dar haina mpangilio
 
Imperial Secondary School​

slider-01.jpg

slider-02.jpg

slider-03.jpg

slider-04.jpg

slider-05.jpg

slider-06.jpg

slider-07.jpg

slider-09.jpg

slider-08.jpg
 
Umesema vizuri Biology is a Greek word, then how come inageuka na kuwa neno la kingereza Tena?
In Greek it is "Bios logos" not Biology
Lugha ya Kiingereza imejipatia msamiati kutoka kwa lugha ya Kigiriki na kuunda neno "Biology"
Kwa sasa neno "Biology" lipo kwenye English dictionary lakini halipo kwenye Greek dictionary.
Elewa, in Greek it is called "Bios logos". Biology is its English word, but the origin remains to be Greek.
 
Yani mtanzania has the guts kutaja mpangomji wakati Dar nzima hakuna mpangilio wowote! Wewe ni kama ulijoin hii battle juzi. Wenzako walishakubali kitambo sana Dar haina mpangilio
Uswazi ndio hakuna mpangomji lakini nyinyi hadi CBD hakuna mpangomji
 
In Greek it is "Bios logos" not Biology
Lugha ya Kiingereza imejipatia msamiati kutoka kwa lugha ya Kigiriki na kuunda neno "Biology"
Kwa sasa neno "Biology" lipo kwenye English dictionary lakini halipo kwenye Greek dictionary.
Elewa, in Greek it is called "Bios logos". Biology is its English word, but the origin remains to be Greek.
Biology is not an English word idiot. English just use it because it's not among their vocabularies, just like Ugali. For Chapati, Meza, Dunia, these are vocabularies in swahili language and you think they are Kiswahili 😂😂
 
Biology is not an English word idiot. English just use it because it's not among their vocabularies, just like Ugali. For Chapati, Meza, Dunia, these are vocabularies in swahili language and you think they are Kiswahili
So you can't explain to someone without calling him an idiot
Answer this question in English.
The branch of science that deals with the study of life is called .............
 
In Greek it is "Bios logos" not Biology
Lugha ya Kiingereza imejipatia msamiati kutoka kwa lugha ya Kigiriki na kuunda neno "Biology"
Kwa sasa neno "Biology" lipo kwenye English dictionary lakini halipo kwenye Greek dictionary.
Elewa, in Greek it is called "Bios logos". Biology is its English word, but the origin remains to be Greek.
Huyo nyang'au hata umueleweshe vipi hatakuelewa, usipoteze muda wako.
 
Back
Top Bottom