sasa what are these surely...lolLouis Montfort Secondary school
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
sasa what are these surely...lolLouis Montfort Secondary school
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Hot air and wild goose chase.......shule ni 5k only hiyo tanzania yenu mzima....lol......unatumia nguvu nyingi
Hii battle ilipigwa mkaikimbia wote week nzima hamkurudi jf sasa mwenzenu kajikoroga acha mlinywe tu 😂😂😂sasa what are these surely...lol
Kama una stress unazitoa zote
Hizo Barabara za Juu ni unapoingia Kasanga Port on Lake Tanganyika na hapo chini ni Kalambo Falls.
Miundombinu kama hiyo kwa umbali huo toka Dar kwa kunyaland ni ndotoHizo Barabara za Juu ni unapoingia Kasanga Port on Lake Tanganyika na hapo chini ni Kalambo Falls.
unakasirika nini....some of us aHii battle ilipigwa mkaikimbia wote week nzima hamkurudi jf sasa mwenzenu kajikoroga acha mlinywe tu 😂😂😂
Bado nina shule first class kama 500 hapa kwenye gallery 😂
hiyo picha ya kwanza umeiba wapi....hahaha....the desperation
Imejichanganya 🙆🙆unakasirika nini....some of us a
hiyo picha ya kwanza umeiba wapi....hahaha....the desperation
Get to know the difference between relative poverty and absolute poverty. Does it mean that both Egypt and South Africa hve more poor people than Tanzania?
Soma uelewe. Better still, do a little bit of research on the two and maybe you'll understand.Kuna wakati ulielezwa na mkenya mmoja hapa ndani late last week kama sijakosea kwamba this is relative poverty, not absolute poverty. Relative poverty varies from one country to another depending on the economic conditions of that specific country, and occurs when your income falls below your country's national median income. Kwa mfano, Tanzania can set her relative poverty at $2 while Kenya sets hers at $1.8. That's why kwenye hiyo map, Tanzania is ahead of countries such as South Africa and even Egypt and at par with certain European countries. Swali ni je, kuna masikini wengi Misri kushinda Tanzania? The answer is obvious. A person who lives below the relative poverty line in the US, for example, can be considered rich akija Kenya ama Tanzania.
In most cases, absolute poverty is what is used in measuring poverty rates in different countries
The most accurate parameter in determining poverty is absolute poverty. Currently, the universal standard for measuring global poverty is the international poverty line, which is set at $1.9 and cuts across all countries.
I hope this has answered your question
Who told you Biology is an English word?Hata neno "Biology" limetokana na maneno ya Kilatini "Bios" and "logos" lakini ni neno la Kiingereza.
Kwenye somo la Kiswahili, topic ya Lugha, subtopic ya "Sifa za lugha" kuna point inasema, "Lugha hukua (Language expands)
Njia mojawapo ya lugha kukua inaitwa "UKOPAJI WA MISAMIATI KUTOKA KWENYE LUGHA NYINGINE"
Kiswahili ni lugha kwa hiyo ina hiyo sifa ya kukopa maneno kutoka lugha nyingine
Duka- Kihindi
Dunia- Kiarabu
Pesa- Kireno
Korosho- Kireno
Kitabu- Kiarabu
Sketi- Kiingereza
Fegi- Kiingereza
Na maneno mengine mengi. Sijui umeelewa?






Huo mkutano ulifanyika wapi? Akina nani walihudhuria? Na ulifanyika lini? Who chaired the meeting? How days did the meeting last? Mko na uongo zingine zenye hata hazisaidii😂😂Yeye hajatuchagulia, ila aliitisha mkutano wa wawakilishi wa watu wote wanaozungumza Kiswahili, Ili wakubaliane ni Kiswahili kipi kiwe ndicho kiwe rasmi duniani, ndipo Kiswahili Cha Kiunguja kilipokubaliwa na "stakeholders" wote. Muingireza alikua ni "Facilitator only".
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Biology ni English word derived from GreekWho told you Biology is an English word?