ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Team hazilipi wachezaji na hamuna vyoo kwann musile ban 🤣🤣🤣🤣Hey baboon, Kenya was banned by FIFA so we can't participate in any FIFA regulated games.
Team hazilipi wachezaji na hamuna vyoo kwann musile ban 🤣🤣🤣🤣Hey baboon, Kenya was banned by FIFA so we can't participate in any FIFA regulated games.
Na sisi tukiweka za Oysterbay, Masaki, Mbweni, Kigamboni mtasemaje?Those are not best pictures za Nairobi for your information. Hapo nimeweka hadi picha za Githurai, Kayole na Kariobangi which most publications consider as slums. Sasa nikiweka za Runda, Muthaiga na maeneo kama hayo utasemaje? [emoji23][emoji23]
As long habari inasema hvo na ni 2023 naamini ndio kwann nisiamini 🤣🤣🤣 unataka data ibadilike kisa mumedhalilika nyinyi au????😂😂😂😂
Pia unaamini kwamba baadhi ya mataifa za Europe ziko na masikini kuliko Tanzania kulingana na ile map?
Wacha nikiwache ujifurahishe
Baboon tumia akili😂😂😂, Kenya was banned by FIFA and that's why Gor is not in those competitions. Why is Russian teams not in Eufa Champions League, EUROPA League and Conference Cup?Hello time traveler.. Gormahia Iko mashindano Gani sahii.?
Ndio maana yake, hizo nchi zina maskini wengi kuliko Tz, nenda kalilie kwa choo au kawaambie WB wabadilishe.Get to know the difference between relative poverty and absolute poverty. Does it mean that both Egypt and South Africa hve more poor people than Tanzania?
I talked about this in-depth here
Soma uelewe. Better still, do a little bit of research on the two and maybe you'll understand.
Tz is a lower middle income country hilo ulielewe.poverty threshold ya tz is below one dollar per day in kenya its 2 dollar per day........if raised to 2 dollar for tz...then their rate will easily hit 75%
Yani anataka hio data isifae kisa wao wamedhalilika 🤣🤣🤣🤣Ndio maana yake, hizo nchi zina maskini wengi kuliko Tz, nenda kalilie kwa choo au kawaambie WB wabadilishe.View attachment 2550777
Gari hio ina kunguni na viroboto wa kila aina juu ya huu ulimwengu 🤣🤣 mpaka chawa hawakosi🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
![]()
So hii sisi inatusaidia nn ?? Au inatuzuia nn 🤣 au kisa tanzania inasonga mbele basi ndio munaumia au na je hii taarifa unayo 👇👇Baboon tumia akili😂😂😂, Kenya was banned by FIFA and that's why Gor is not in those competitions. Why is Russian teams not in Eufa Champions League, EUROPA League and Conference Cup?
Usifanye sisi watoto humu.Baboon tumia akili😂😂😂, Kenya was banned by FIFA and that's why Gor is not in those competitions. Why is Russian teams not in Eufa Champions League, EUROPA League and Conference Cup?
Tz 500 vs Kenya 10. 🤣 🤣 🤣
Hakuna mechi iliyochezwa mwaka 2019 baina ya hizo timu, by the way kwasasa hatuzifikirii timu za EA mana mpira wetu kwa ngazi ya vilabu umekuwa mkubwa, katika ligi ukitoa ligi tatu za uarabuni inafuata ligi ya Tanzania kwa ubora, tumeizidi mpk ligi ya SA.That was their recent encounter in 2019.