Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Anaweka Buguruni anaita ilala, alafu anajifariji anaijua Tz [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

By the way, ameweka picha ya 2014 hata Magufuli hajaingia madarakani, yn enzi zile wanaturingia na flyover za tofali [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Sasa wewe pia unaamini kwamba both South Africa and Egypt wako na masikini wengi kuliko Tanzania kulimgana na ile map? Mbona hampendi kuelimishwa?
Achana na Egypt tunazungumzia Kenya na Tz, kwenye hiyo ramani inaonesha Kenya kuna maskini wengi kuliko Tz na ukiangalia uhalisia pia iko hvyo hvyo.
 

Crown Secondary School​

116432789_108931890916864_3166331957548517829_n.jpg


118795034_126886322454754_4920436780389462789_n.jpg


118861735_126886319121421_306117134758103132_n.jpg


118623124_125451005931619_6308842285896880261_n.jpg


118015631_122702192873167_294730593607285135_n.jpg


117159019_110879584055428_5066438237477144633_n.jpg
 
Sasa group stage pia ni kitu ya kupigia kelele? Siku hizo timu zenu zitakutana na Gor Mahia tena ndio mtajua they are just pretenders.
Panya anamtishia Tembo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ikiwa Uganda tu hamuifikii kwa lolote kwenye soka lkn timu yao imepigwa home and away na timu ya Tz, ndiyo itakuwa timu zenu hizo mnazookotana mitaani.
 
Those are not best pictures za Nairobi for your information. Hapo nimeweka hadi picha za Githurai, Kayole na Kariobangi which most publications consider as slums. Sasa nikiweka za Runda, Muthaiga na maeneo kama hayo utasemaje? [emoji23][emoji23]
Huyu anayeongea hivi ni mkenya na hapo anaiongelea Kenya hii hii inayowekwa humu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Baboon tumia akili[emoji23][emoji23][emoji23], Kenya was banned by FIFA and that's why Gor is not in those competitions. Why is Russian teams not in Eufa Champions League, EUROPA League and Conference Cup?
Who cares.
 
Hii mada ya shule za sekondary tunaifunga leo rasmi, kwamba wakenya wametepeta. Tumezungukia nchi nzima ya Tanzania tumiewaonesha japo 10% ya shule zilizopo.

Nawasihi Kundustan wajipange upya.
Kuna kima mmoja alisema kuna shule yao 1 haifikii hata uzuri wa vyuo vyetu, natamani ajichanganye aanzishe battle ya vyuo, aanze na training centers, colleges and universities aone cha mtemakuni ila najua hawauwezi huu moto
 
Usifanye sisi watoto humu.
Mlipigwa ban mwaka jana 2022 (Jan/Feb)
Ukiangalia log ya ligi yenu, girl maria hakuwa na nafas yoyote ya kucheza CAF competition
Timu zenu zinaingia nafas moja moja in CAFCL (bingwa wa ligi) na CAFCC (nafas ya pili ligi)

Msimamo 2021/2022 (msimu mliopigwa ban)
View attachment 2550780
Msimamo 2020/21 (msimu kbl ya ban)
View attachment 2550781
Wewe ni mtoto na hujielewi. Kama unasema ni timu moja moja ndio inaenda, ebu tuambie ni timu gani hiyo ilienda na walifika wapi.
 
Panya anamtishia Tembo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ikiwa Uganda tu hamuifikii kwa lolote kwenye soka lkn timu yao imepigwa home and away na timu ya Tz, ndiyo itakuwa timu zenu hizo mnazookotana mitaani.
1678802211839.png
 
Back
Top Bottom