chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,316
- 45,121
kichaa mmoja kauliza eti chemistry wanasoma kwa kiswahili? 😂😂 na yupo humu jf ni expert member kabisa lakini haijui Tanzania mpaka leo, sijui wanatuchukuliaje, wanayo Tanzania yao kichwani ndogo kama akili zao ndio wanatumia kujifariji, nina imani wengi hawajategemea kama hizi shule tulizoapload humu zipo Tanzania 😂😂😂wana mentality watoto wote wa matajiri Tanzania hupelekwa Kenya kufuata elimu bora 😂😂😂Wakituona tumekaa kimya wanadhani wapo juu yetu. Wakenya kichwani hawana akili.
