Yes UDART is a private company and soon another private operator will be on boardSo BRT in tanzania is privately owned?View attachment 2550052
Yes UDART is a private company and soon another private operator will be on boardSo BRT in tanzania is privately owned?View attachment 2550052
Maua ya Tz kupitia Kenya mwisho mwaka huu.
Hata neno "Biology" limetokana na maneno ya Kigiriki "Bios" and "logos" lakini ni neno la Kiingereza.Chapati ni lugha yenu?![]()
Wakati mnasema agenesti badala ya against mimi nijisikie vibaya? Ha ha ha.Na bado mmebaki na huo utumwa. So sijui mbona mkiskia tunazungumza kingereza mnaskia vibaya.
Hawezi kuelewa huyo nyang'au😂Hata neno "Biology" limetokana na maneno ya Kilatini "Bios" and "logos" lakini ni neno la Kiingereza.
Kwenye somo la Kiswahili, topic ya Lugha, subtopic ya "Sifa za lugha" kuna point inasema, "Lugha hukua (Language expands)
Njia mojawapo ya lugha kukua inaitwa "UKOPAJI WA MISAMIATI KUTOKA KWENYE LUGHA NYINGINE"
Kiswahili ni lugha kwa hiyo ina hiyo sifa ya kukopa maneno kutoka lugha nyingine
Duka- Kihindi
Dunia- Kiarabu
Pesa- Kireno
Korosho- Kireno
Kitabu- Kiarabu
Sketi- Kiingereza
Fegi- Kiingereza
Na maneno mengine mengi. Sijui umeelewa?
Ninapingana na hiyo ya kwamba Kiswahili kilianza na waborani na hizo kabila zingine za hapo Kenya kwasababu lazima huyo aliyehusika kuchangia hiyo taarifa atakua ni mkenya.Sasa unapingana na history? Nimekuambia Kiswahili sio lugha ya Tanzania, it's just a collection of borrowed words confusedly combined together to form a rhyming sound.
Huyo mtanzania alichoweka na "quote" ya wikipedia, ambayo lazima wanetunia "source" ya Kenya.Hawa watu wako na shida kweli![]()
Yeye hajatuchagulia, ila aliitisha mkutano wa wawakilishi wa watu wote wanaozungumza Kiswahili, Ili wakubaliane ni Kiswahili kipi kiwe ndicho kiwe rasmi duniani, ndipo Kiswahili Cha Kiunguja kilipokubaliwa na "stakeholders" wote. Muingireza alikua ni "Facilitator only".So mzungu anakuchagulia lugha yako? Yet you were here talking about utumwa?![]()