Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sakina Girls Secondary School​

87763466_112231970378237_291794052251123712_n.jpg


87338200_110674387200662_8817626214408650752_n.jpg


87869.jpg
 
Kwan ww hujafurahi team zetu kuingia robo fainali na je utapenda kuskia zimeingia nusu final ??? Naomba unijibu bila hasira 😆😆😆
Endelea kuota. Dunia itaisha bila hizo timu kuingia nusu fainali😂😂
 
KDF failed in
1)South Sudan peace keeping mission, walifurushwa na Ban kin Mon

2)Eastern DRC. wananchi na rais wa DRC wanataka KDF waondolewe kwasababu hawana uwezo

3)Samburu na Turkana, wananchi wa maeneo hayo wanataka waruhusiwe kujilinda wenyewe baada ya KDF kushindwa kuwalinda.

4)Somalia; KDF imeshindwa kuzuia Alshabaab kuishambilia Kenya

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
mikinya nikiwaona nawacheka kwa dharau sana
 

Shaaban Robert Secondary School​

AF1QipOHFrZyk4DWknCBYETWAYzci2IDWQ27qdhGOMLs=s1360-w1360-h1020


swimmers-pic.jpg


sp-3.jpg


bi-1.jpg


au-2.jpg
Hii shule nimeikumbuka hasa huo ukumbi.
Kipindi cha nyuma (sijui kama saiz bado hio mitihan ipo) kulikuwa na mitihan ya joint kwa shule za kiCatholic zote Dar es Salaam, na shule yetu ilipewa mualiko kufanya hio mitihan, zilikuwa zinaitwa JECAS (Joint Examination for all CAtholic School in Dar es Salaam).. hapo ndo ilikuwa main venue tulikuwa tunakuja kuzawadiwa zawadi kwa waliofanya vizur, nilikuwa najizolea tu awards za mathematics 😄
20230314_152246.jpg


Pia tulikuwa tunafanya mitihan ya hesabu kitaifa (Nation Mathematics Contest). Aise nikabeba zawad pia huko 😀🙏 (Glory be to God).
Good old-golden days
20230314_152409.jpg
 
Gor mahi ni team haina mafanikio haina mbele wala nyuma 😆😆😆 haina hata ofisi wala choo cha ofisi, gari lemyewe wamepewa na tuzo sio gari sio wazimu
Timu yenye haina mafanikio ndio inacharaza timu zote za Tanganyika na Zanzibar combined 😂😂😂
 
Back
Top Bottom