Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii ulikua ni mwaka gani.?
1678794878718.png
 
Sisi tunatumia Kiswahili lahaja ya Kiunguja. Ni tofauti na hizo lahaja zinazopatikana kwenye Pwani ya Kenya, kumbuka Kiswahili kimeanza Pwani ya Africa mashariki kuanzia Somalia Hadi Msumbiji
Mwingereza alisanifisha lahaja ya Kiunguja na kuifanya iwe Official Kiswahili language na ndio Kiswahili tunachotumia modern days. Lahaja zote za Kenya zikapigwa chini
Lahaja ya Kiunguja asili yake ni Zanzibar, kumbuka Zanzibar ni Tanzania. Na Kiunguja ndio Kiswahili kinachotambulika kimataifa pia ndio tunachotumia Sasa. Hicho cha Kenya, Somalia sijui Msumbiji vyote mzungu alivipiga chini
Sasa hivi Kiswahili ni lugha ya Mwingereza ama Mwafrika? Tukiwaambia nyinyi ndio watumwa mnatuona wachokozi. 🤣 🤣
 
Utsema kavuta ngada manake kazunguka weee ila kisu kakutana nacho 🤣🤣🤣
Sasa wewe unaamini Misri ina masikini wengi kuliko Tanzania? 😂😂
Kumuelimisha mtanganyika ni kazi sana
 
Sasa wewe unaamini Misri ina masikini wengi kuliko Tanzania? 😂😂
Kumuelimisha mtanganyika ni kazi sana
Misri ina population of over 100m unategemea wote watakua matajiri au??🤣
 
Sasa group stage pia ni kitu ya kupigia kelele? Siku hizo timu zenu zitakutana na Gor Mahia tena ndio mtajua they are just pretenders.
Sasa tunaenda robo fainali kaa mkao wakula team zote zinaingia robo fainali na ukumbuke kila stage hapo ni pesa tu zinaingia 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom