Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Gor mahi ni team haina mafanikio haina mbele wala nyuma 😆😆😆 haina hata ofisi wala choo cha ofisi, gari lemyewe wamepewa na tuzo sio gari sio wazimu
Timu yenye haina mafanikio ndio inacharaza timu zote za Tanganyika na Zanzibar combined 😂😂😂
 
Matokeo ya Gormahia vs Yanga hivi karibuni, mechi ilichezwa tareh 29/7/2018 .. miaka mitano iliyopita .. ni history tu .. sahii Gormahia imeshajifia zake . Yanga still inapeleka moto uko kombe la shirikisho,
Akili zao hua zinarudi nyuma badala kwenda mbele 😆😆😆😆
 
Always comparing best Nairobi pics vs worst Dar es salaam pics
Acha Dar iendelee kuwanyima usingizi
Those are not best pictures za Nairobi for your information. Hapo nimeweka hadi picha za Githurai, Kayole na Kariobangi which most publications consider as slums. Sasa nikiweka za Runda, Muthaiga na maeneo kama hayo utasemaje? 😂😂
 
Gor mahi ni team haina mafanikio haina mbele wala nyuma 😆😆😆 haina hata ofisi wala choo cha ofisi, gari lemyewe wamepewa na tuzo sio gari sio wazimu
Timu yenye haina mafanikio ndio inacharaza timu zote za Tanganyika na Zanzibar combined 😂😂😂
Tunaona maendeleo kwanza kuona kampuni kubwa ya ulaya haier ina saini na yanga 1.5b tsh udhamini kwa mechi 6 tu just imagine
View attachment 2550757
 
Timu yenye haina mafanikio ndio inacharaza timu zote za Tanganyika na Zanzibar combined 😂😂😂
Gor-Mahia-team-bus.jpg
 
Matokeo ya Gormahia vs Yanga hivi karibuni, mechi ilichezwa tareh 29/7/2018 .. miaka mitano iliyopita .. ni history tu .. sahii Gormahia imeshajifia zake . Yanga still inapeleka moto uko kombe la shirikisho,
Gor Mahia will rape Tanzanian teams no matter what. You can arrange for a match tomorrow between Gor Mahia and Tanzania all stars uone vile Gor inawanyorosha😂😂
 
Hello time traveler.. Gormahia Iko mashindano Gani sahii.?
 
Kama data zinasema hvo kwann nisiamini au misri iko europe ???🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂
Pia unaamini kwamba baadhi ya mataifa za Europe ziko na masikini kuliko Tanzania kulingana na ile map?

Wacha nikiwache ujifurahishe
 
Timu yenye haina mafanikio ndio inacharaza timu zote za Tanganyika na Zanzibar combined 😂😂😂
Tuletee hata mdhamini mmoja anaedhamini gor mahia 🤣🤣🤣 yanga ina dhaminiwa na 👇👇👇
1) sportpesa
2) haier
3) GSM
4) azam Tv
5) afya drinking water
Etc
 
Back
Top Bottom