Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Moi High School, Kabarak

Screenshot 2023-02-06 200412.jpg

e37c92ba80f3b590.jpg
1678779316402.jpeg

Screenshot 2023-02-06 200412.jpg
 
Hivi hunielewi ama unatafuta tu ubishi. Angalia kwa comment yake niliyoquote ameweka picha tatu, ukiclick linch ya picha ya mwisho unapata haipo. Ame-edit mwenyewe kaitoa after nimuumbue.
Niliona picha mbili tu. Hiyo ya tatu sikuiona.
 
So Pokomo, Taita and Mijikenda are in Tanzania? Kwa screenshot yako imeandikwa most of the Swahili Bantu vocabularies originate from Pokomo, Taita and Mijikenda.
In this world, almost everything originated from Kenya, there is a guy from Mombasa who claimed that "Bongo flavor music" originated from Kenya.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Mtanzania mwenzako mwenyewe amesema Kiswahili kimetokana na kiPokomo, kiTaita na kiMijikenda ambazo ni lugha za Kenya alafu unaanza kucatch feelings hapa. Punguzenity inferiority complex. 🤣 🤣 🤣
 
Sasa unapingana na history? Nimekuambia Kiswahili sio lugha ya Tanzania, it's just a collection of borrowed words confusedly combined together to form a rhyming sound.
 
Mtanzania mwenzako mwenyewe amesema Kiswahili kimetokana na kiPokomo, kiTaita na kiMijikenda ambazo ni lugha za Kenya alafu unaanza kucatch feelings hapa. Punguzenity inferiority complex.
Sisi tunatumia Kiswahili lahaja ya Kiunguja. Ni tofauti na hizo lahaja zinazopatikana kwenye Pwani ya Kenya, kumbuka Kiswahili kimeanza Pwani ya Africa mashariki kuanzia Somalia Hadi Msumbiji
Mwingereza alisanifisha lahaja ya Kiunguja na kuifanya iwe Official Kiswahili language na ndio Kiswahili tunachotumia modern days. Lahaja zote za Kenya zikapigwa chini
Lahaja ya Kiunguja asili yake ni Zanzibar, kumbuka Zanzibar ni Tanzania. Na Kiunguja ndio Kiswahili kinachotambulika kimataifa pia ndio tunachotumia Sasa. Hicho cha Kenya, Somalia sijui Msumbiji vyote mzungu alivipiga chini
 
Mtanzania mwenzako mwenyewe amesema Kiswahili kimetokana na kiPokomo, kiTaita na kiMijikenda ambazo ni lugha za Kenya alafu unaanza kucatch feelings hapa. Punguzenity inferiority complex. 🤣 🤣 🤣
Hawa watu wako na shida kweli😂😂
 
Sisi tunatumia Kiswahili lahaja ya Kiunguja. Ni tofauti na hizo lahaja zinazopatikana kwenye Pwani ya Kenya, kumbuka Kiswahili kimeanza Pwani ya Africa mashariki kuanzia Somalia Hadi Msumbiji
Mwingereza alisanifisha lahaja ya Kiunguja na kuifanya iwe Official Kiswahili language na ndio Kiswahili tunachotumia modern days. Lahaja zote za Kenya zikapigwa chini
Lahaja ya Kiunguja asili yake ni Zanzibar, kumbuka Zanzibar ni Tanzania. Na Kiunguja ndio Kiswahili kinachotambulika kimataifa pia ndio tunachotumia Sasa. Hicho cha Kenya, Somalia sijui Msumbiji vyote mzungu alivipiga chini
So mzungu anakuchagulia lugha yako? Yet you were here talking about utumwa?😂😂😂
 
Back
Top Bottom