IamLee
JF-Expert Member
- Apr 23, 2017
- 6,628
- 7,820
Wewe jamaa wa kuongelea vya wenyewe badala ya kupost vya kwenu 😂Alaf bandits wanawatoa uharo 🤣🤣🤣
What are some of your elite special forces
Wewe jamaa wa kuongelea vya wenyewe badala ya kupost vya kwenu 😂Alaf bandits wanawatoa uharo 🤣🤣🤣
Very true na ndio aliebadilisha system zote za nchi hii ndio maana unaona leo kila jambo linaenda kwa speed sawa sawiyaWale mlioanzisha shule hua mnasession za kupanda miti,kukata vichaka na kulima uwanja nk...alafu kuna wale wanakuja tu kumwagilia maua na kuingia darasani...
JPM alianzia pagumu sana Huyu sahivi anamwagilia Maua tu
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Military bro is something secrete sio kila kitu kinaoneshwa ww hujiulizi kwann north korea ni tishio kwa dunia its because of internal secrets na tanzania ni nchi ambayo inaficha sana siri zake hasa kwenye militaryWewe jamaa wa kuongelea vya wenyewe badala ya kupost vya kwenu 😂
What are some of your elite special forces
View attachment 2544259
Hakuna mtanzania aliepo Kenya barabarani, watoto wetu mliokua mkiwafanyia human trafficking tulishawarudisha wote Tanzania View attachment 2544182View attachment 2544183
Ila njaa ni mwanaukome kaaah 🤣🤣🤣
Njaa gani hii inakunja kona kama ndoige
Ni kuongeza speed tu sahiviVery true na ndio aliebadilisha system zote za nchi hii ndio maana unaona leo kila jambo linaenda kwa speed sawa sawiya
Ukiangalia sera ya madini leo tanzania inaneemeka na madini na utoroshaji umepungua sana, ukija sekta ya utali ilibadilika na wakaja na mbinu mpya na pia ikichangiwa na ununuzi wa ndege za airtanzania, ukija kwenye horticulture sera zilibadilishwa na ndio maana unaona jirani ana haha sana juu ya zao la avocado tulitoka nafas ya 10 mpaka ya 2 just imagine within a year
Kuna mambo mengi sana hayaelezeki na hatuwez kuyamaliza
WAIT WHAT??????Military bro is something secrete sio kila kitu kinaoneshwa ww hujiulizi kwann north korea ni tishio kwa dunia its because of internal secrets na tanzania ni nchi ambayo inaficha sana siri zake hasa kwenye military
Sio nyinyi kazi yenu kuonesha muna jeshi imara lakini bandits wanawakamu uharo na ni ndani ya nchi yenu 🤣🤣 huyo alshabab ndio kabisa hata mulishachoka mukaomba muondoke somalia
Watanzania hatuna time na kenya but tunachokufanya ni kuwashtua mujue kua dunua imefika mbele sana kuliko fikra zenu 🤣🤣🤣 yani zile tabia za kujisifia uongo muache manake mukiendelea kesho mutashtuka uganda na burundi wanawapumulia kisogoniThe amount of DESPARATION From the south is CRAZY!
Yaani you are all over Kenyan news social media, mainstream media etc...HAMNA AMANI? 🤣 🤣
TULIENI BAANA!
Kenya umeme uko bei ghali sana tutawapa umeme kwa bei nafuu sana hawatakuwa na option ya kufanya investment za energy wakati cheap energy is guaranteed.Gas Ina uhakika wa pesa,umeme ndio mpaka kuwe na shortage na kwenye umeme nimeona wako na plan za kuongeza geothermal so soko la umeme sio sustainable..
Hadi Zim kule wanasema mto Zambezi ule una potential ya kuzalisha umeme megawatt 180,000 na wameanza Mpango wa Ujenzi wa bwawa jingine ukiacha Kariba Kwa hiyo in long run umeme hautakuwa na soko la uhakika.
Yaani tajiri anakwenda kuomba maskini amwekee guarantee apate bidhaa. Only in Kenya vituko kedekedeSince TZ 'is now financially stable', can they come for their beggars who are in every corner of our streets. They make tourist visiting our country think Kenya is a begging nation




KDF failed inWewe jamaa wa kuongelea vya wenyewe badala ya kupost vya kwenu
What are some of your elite special forces
View attachment 2544259
Mkuu, bei ya gas kwa ajili ya kuzalishia "Fertilizer" ni tofauti na bei ya gas kwa matumizi mengine. Hivi Sasa mazungumzo yanaendelea kati ya wawekezaji wa kiwanda Cha mbolea na TPDC Ili wauziwe gas kwa bei ya chini kabla ya wao kwenda kuchukua mkopo.Kenya umeme uko bei ghali sana tutawapa umeme kwa bei nafuu sana hawatakuwa na option ya kufanya investment za energy wakati cheap energy is guaranteed.
Ukiwauzia gas usahau kuwauzia fertiliser na other gas related products maana gas inatumika kama feedstock kutengeneza products nyingi including kuzalisha umeme maana watazalisha wao kwa kutumia hiyo gas we need to strategically choose what we can share with them.
Tz imeanza kwa JPM?Wale mlioanzisha shule hua mnasession za kupanda miti,kukata vichaka na kulima uwanja nk...alafu kuna wale wanakuja tu kumwagilia maua na kuingia darasani...
JPM alianzia pagumu sana Huyu sahivi anamwagilia Maua tu
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Watakufa na tai zao shingoni..Na hili hufanya hvi kwa lengo la kuichafua tanzania kimataifa ilo wao wasionekane kama wanapika statistics za umaskini sasa we jiulize ushawah sikia wanarudishwa kwao
Hivi kwani Mama alimtaja mtu au alisema majirani?Kwanini wanajistukia?Someni "comments" za wakenya hapo chini, wanaukubali mziki wa Tanzania
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Power blackout due to system disturbance
Aki nimecheka sana hawa jamaa wanavyoongopewa. Dollar ya kununua mafuta ya kuendesha mitambo hakuna. Period.
Ila siku hizi habari za GDP hawaweki sana humu wameshajishtukia kuwa wamekuwa comedians wote.
Kauli inayowasumbua ni ile ya uchumi wetu uko vizuri kuliko majirani zetu ..nadhani kuna watu ndio wanataka ku defend wanachoaminiHivi kwani Mama alimtaja mtu au alisema majirani?Kwanini wanajistukia?